Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Singo ametaja majina nane ya wanachama ya Yanga wanaodaiwa kuwakwamisha uchaguzi wa Yanga. Singo alisema Waziri Dk Harrison Mwakyembe tayari ameyapata majina nane ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama jins kichwa cha mada kina jieleza. Mi napata shida sana na uwezo wa kufikiri kwa huyu Kiongozi wetu mkuu wa soka nchini anakosaje kushawishi watu au makampuni ya kudhamini ligi kuu maana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kocha wa timu ya Yanga Mwinyi Zahera amemkataa kipa Beno Kakolanya na kwamba ameruhusu aendfe timu nyingine na si Yanga. Akizungumza na Yanga TV Zahera amesema wale waliomwambia aache kufanya...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Haiwezekani mchezaji anayedai haki zake atelekezwe tu hivihivi huku TFF inakodoa macho tu , huu ni zaidi ya uonevu .
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Kocha Jose Mourinho ameondelewa katika nafasi yake ya kuinoa klabu ya Manchester United baada ya kuiona klabu hiyo kwa miaka miwili na nusu > Taarifa ya klabu hiyo inasema "Klabu inapenda...
0 Reactions
137 Replies
19K Views
Majina kadhaa yanatajwa wakiwemo Mauricio Pochetino , Laurent Blanc , Michael Carrick na Antonio Conte , Je wewe unadhani ni yupi anafaa kubeba mikoba ya Ukocha wa timu hii kubwa ?
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nipo na wadau tunabishana hapa, je Hazard, Bale, Neymar, Pogba, na wengineo, Je ni yupi anafaa kuwa watatu kwa ubora kando ya Messi na Ronaldo?
2 Reactions
118 Replies
12K Views
Kombinesheni ipi ya mabeki wa kati ilikuvutia zaidi katika soka kati ya hizi?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Wolfsburg win 2. Ac Milan win Fata utabiri wangu wa leo
1 Reactions
4 Replies
876 Views
Jumapili hii kuna mchezo wa ngao ya jamii pale England, kati ya Man City Vs Chelsea katika uwanja wa Wembley. Mechi hiyo ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya wa EPL. Cha kusikitisha ni kwamba...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
José Mourinho was sacked by Chelsea on the 17th December 2015. It’s December 17th tomorrow.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
NUKUU ZA ZAHERA LEO JIONI. - Timu yangu imecheza ovyo sana lakini nashukuru tumepata ushindi. - Jana ilikuwa dirisha dogo la usajili linafungwa ni siku ambayo uongozi wa Yanga umefanya vitu vya...
7 Reactions
36 Replies
5K Views
Mheshimiwa Mwakyembe amesema uchaguzi wa Yanga uko pale pale na utasimamiwa na TFF mwanzo mwisho. Chanzo:Gazeti la Mwananchi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niliwahi kuandika humu kwamba Paul Pogba si lolote si chochote, hawezi hata kufanana na Athuman China au Husein Masha, bei ile aliyouzwa mchezaji huyu ilikuwa ya kitapeli kabisa. Kitendo cha...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwanza kabisa GENTAMYCINE nichukue nafasi kuwapa pole Wachezaji wa Simba SC kwa ‘ Kipigo ‘ cha jana kule Kitwe nchini Zambia ila pia niwapongeze kwa kupata goli muhimu sana la ‘ Ugenini ‘ ambalo...
6 Reactions
39 Replies
7K Views
C&P MAPACHA WA KARIAKOO...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
“Huyo aliyempa pesa Kakolanya, aje awape na hawa wengine kwa sababu si yeye tu anayedai, ikitokea hawa waliobaki nao wakagoma kucheza jumapili unadhani itakuwaje, siwezi kumpokea tena, atafute...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
On October 7th, Gourav Mukhi became the youngest goalscorer in the history of the Indian League at just 16 years old. Two months later, the player has been suspended for 6 months for lying about...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby. Man Utd itaingia kama underdogs...
4 Reactions
101 Replies
11K Views
Ikifika dkk ya 80 yanga huwa Kama nyuki hongera wachezaji wetu Simba jiandaeni kisaikolojia kwa Nkana Yanga hoyeeeeeeeeeeee
16 Reactions
128 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…