Kufanya biashara ya kuonesha mpira wa miguu; Fursa pekee iliyoko nyuma ya pazia!
Mpira wa miguu ni mchezo unaopendwa sana hapa duniani. Ni mchezo pekee ambao unawashabiki wengi tena wa Lika zote...
Ili jiji litulie na sisi yanga tuwe na amani na mwendelezo wa kipigo kwa wapinzani wetu nkana wameingia hapa jana na sasa wanakutanishwa na mzee wetu mutu ya kongo.
Mlidhani kwa kumtambua yule wa...
Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo...
Zingatia:Kabla sijaenda mbali zingatia hili-katika mara zote walizokutana Simba SC haijawahi kuifunga Nkana au kutoa droo pale Kitwe,Zambia.Halikadhalika NKANA HAIJAWAHI KUIFUNGA au KUTOA DROO NA...
Yule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani...
Wakuu utabiri wa hali ya hewa jijini Dar es Salaam unaonesha tarehe 24/12/2018 kutakuwa na jua kali na hamna dalili yoyote ya manyunyu wala mvua.
Kuna mtu huwa anategemea mvua miaka yote ili...
Yule mchezaji wa kimataifa anaewasumbua wazungu samagoal ametimiza miaka 23 Leo hongera kwake
Ikumbukwe samata amejifunga mkataba mpya klabuni hapo hadi 2021 ambapo kwa mwezi anakula milioni 500
HAINIPUNGUZII chochote nikikusalimu kwa kukupa gwala asubuhi leo, ila ni nyongeza tu ya uungwana. Kula gwala mtu wangu!
Gwala nikupazo ni mambo matano yaliyotikisa jana kutoka duniani kuja...
Hakika Ogopa Mchawi na Mnafiq
Ngoma siyo yao ila wapo tayari kujitoa Roho.
Jamaa mmoja aliepitiwa na Rungu la TFF asijihusishe na Michezo hajakoma Jina kapuni
Ambae ni mnazi wa yanga na M/Kiti...
Mama kawa kijana baada ya kutoka kupiga mechi ya netbol katila time ya wabunge na kupata ushindi pembeni kushoto Ni naibu spika dr.tulia
Basata nakaribisha vifungo vyenu hapa
sio jambo la kushangaza wakina boban kusajiliwa klabu kubwa kama yanga.. ndiyo!..umekuwa mshangao Mkubwa boban kusajiliwa yanga.. lakini uhalisia ni huu.. tuanze kwenye ligi yetu..
kiukweli ligi...
1.Dida
2.Colbal
3.Kwasi
4.Paul Bukaba
5.Juko
6.Ndemla
7.Rashid Juma
8.Mzamiru
9.Salamba
10.Niyonzima
11.Kichuya
kama ni kwel hesabuni maumivu na mnachezea shalubu za Pala na hesabuni maumivu