Husika na kichwa cha habari hapo juu naamini viongozi wakubwa wa simba wapo humu kwa hyo kama shabiki toa maoni yako kuelekea mchezo huo kuanzia kikosi kianze kipi na wachezaji wapeni ushauri...
The Olympics are finally coming to Africa—at least its youth games.
In 2022, Senegal will host the fourth summer youth Olympic games, the first to take place on the African continent. The...
Ni katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Gent fc
Ssmata akiingia nyavuni katika dakika ya 23 Ya mchezo
Hongera sana Mbwana samata. Sasa hivi kwa goli zake 15 katika ligi amefungana na King Messi wa...
Wadau wasalam
Kijana wetu wa Tz 24yrs anapigana na Wahab kutoka Nigeria (WBF) naona wako na kocha wake Emmanuel Mnondwa tena anafuta kwa kofia yake ya ......ya chama. Dogo mzuri ila inaonesha...
Kipigo cha 3-2 walichokipata Simba toka kwa Mashujaa ya Kigoma kimewatoa na kuwatupa nje kabisa katika mashindano ya FA.
MIKIA buana, kelele nyingi vitendo 0 😁😁😁
#ASFC Timu zilizofuzu kuingia...
Habari wanajukwaa.
Nikiwa kama shabiki wa simba naumia sana na mwendo wa klabu yetu katika mechi muhimu lakini timu inafanya vibaya.
Ligi wakati inaanza tulikuwa tunatoa sareza kijinga na kujikuta...
Viongozi wa Simba wana matatizo gani na sheria? Rage alifungwa, Hans Pope alifungwa, Wambura alifungwa na huyu Aveva naye anaenda kufungwa.
Kwanini hivi?
Yaani Jana nimeumia sana ni heri kujitoa katika kombe la mapinduzi kuliko kuchezesha wachezaji walevi.maana nasikia eti tunagawnya kikosi chezesheni kikosi cha kwanza jamani sisi tunaumia sana...
Wakuu, mtakumbuka msimu uliopita wa haya mashindano ya Azam Sports klabu ya Simba, Tena ikiwa inaongoza ligi kuu, ilitolewa na Green Warriors. Mtukufu mfadhiri hakupendezwa na kuuagiza uongozi wa...
MPIRA UMEKWISHA: Kagera Sugar wanatibua rekodi ya Simba kutofungwa mechi yoyote uwanja wa Taifa baada ya kuwashinda mabingwa hao wapya 2018 kwa 1-0. Utaratibu waandaliwa ili Rais Magufuli akabidhi...
Ligi yetu ya kibongokibongo sio muda awamu ya kwanza inaenda kumalizika soon lkn mpaka SAS TFF hawajamupata mdhamini wa ligi.je hali ikiendelea mpaka mwisho bingwa atalipwa hela na TFF?
Kwa namna Simba walivyofanya usajili wao naamini kabisa watafanya vizuri sana msimu huu,kama uliwatizama vizuri kwenye ile mechi yao ya Simba day timu imebadilika sana wanaufurahia mpira kama...
Mwenye kuifahamu timu ya Shujaa Fc hebu atupe hapa kwa kifupi.
Nasikia ni vijana toka Kigoma kwetu ila sijui mitaa gani vile,Mwandiga,mjimwema,Mwanga,kasulu,uvinza,Buhigwe,kakonko,Kibondo...
Amakhosi could sign the marksman, who was once on the radar of Bucs, during the upcoming January 2019 transfer window
Uganda international Emmanuel Okwi is reportedly close to joining Kaizer...