Nini tofauti kati ya Green Warriors na Mashujaa FC dhidi ya Simba SC?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, mtakumbuka msimu uliopita wa haya mashindano ya Azam Sports klabu ya Simba, Tena ikiwa inaongoza ligi kuu, ilitolewa na Green Warriors. Mtukufu mfadhiri hakupendezwa na kuuagiza uongozi wa klabu kumtimua kocha Omog. Sasa Simba msimu huu haiongozi ligi na jana imetolewa kwenye mashindano haya ya Azam Sports na timu ya Mashujaa FC. Nasubiri mtukufu mfadhiri sasa akiwa ndani ya klabu aamue dhidi ya kocha huyu.
 
Subiri, baada ya mechi za makundi kuisha, watamtimua Beberu.
 
Hakuna tofauti zote ni timu za jeshi zote zimeipiga Simba yenye kocha anaye zungumza kifaransa labda tu kuwa wengine wala Changu na wengine wala migebuka !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom