WADAU WOTE WA #FIXED MACH TICKET YA LEO HII APA SURE 10001% GUARANTEE 100% [emoji1250]DIRECT INFO FROM THE CLUB'S[emoji1250] KARIBUNI WOTE[emoji387] BADILISHA MAISHA KUPITIA BETTING[emoji387] TIME...
Leo ndio siku ambayo unbeaten majogoo wanapigwa kipigo na mzee wa upara pep gardiola,
Liverpool ni wazuri ila kwa jinsi mechi gardiola amevoipania, ushindi ni wake kabisa, pep make sure klop are...
Mama mzazi wa mwanasoka wa man United na ufaransa Paul Pogba amechaguliwa kuwa balozi wa soka la wanawake nchini Guinea huku Kaka zake Pogba wakimsadia kazi hiyo imeelezwa na BBC
ikumbukwe Kaka...
Jurgen Klopp anaamini nahodha wa Manchester City Vincent Kompany alifaa kupewa kadi nyekundu wakati wa mechi ambayo Liverpool walilazwa 2-1 uwanjani Etihad.
Kompany alionyeshwa tu kadi ya manjano...
Hapa Bongo na Afrika Mashariki yote tunaye masta mmoja tu. Si mwingine bali ni Lecturer wa sexy soccer Triple C Mnyama Chama mwenye uwezo wa kupiga magoli ya slow motion.
Nakubaliana na wasemayo...
Mi napenda kuwaambia watu wa Yanga, timu hii tunaweza iendesha sisi wenyewe. . kule ulaya, mfano mashabiki wa Barcelona kutoka maeneo mbalimbaliwa wao wanahakikisha wanatia kitu katika mfuko wa...
Katika pitapita nimeona hili goli sikuamini limefungwa katika ligi za Tanzania na sio ulaya au kombe la dunia au champions league nikaona bora na wengine waone ambao hawajaona na coach kashasha...
BENNO KAKOLANYA SIMAMA WEWE MWENYEWE.
Mambo yaliharibika zaidi mara baada ya kuondoka George Lwandamina, timu ikawa chini ya Noel Mwandila akisaidiwa na Shadrack Nsajigwa 'Fusso' . . wachezaji...
Christian Pulisic amejiunga na Chelsea kwa ada ya Paundi Milioni 57.6 lakini atabaki Borussia Dortmund kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu 2018/19
Mchezaji huyo raia wa Marekani mwenye miaka 20...
Kupitia press conference iliyofanyika makao makuu ya klabu ya yanga leo hii kocha mkuu Mwinyi Zahera, ametoa ofa ya chakula cha mchana kwa waandishi wote wa habari za michezo walio hudhuria...
"kufuatana na nguvu yetu tulionayo(wachezaji)inatubidi tuangalie wapi tutapata faida,tupo na ligi kuu,tupo na Azam federation cup, mapinduzi cup na Sport Pesa inabidi sisi kama yanga tuwe na...
Mara zote niliwapinga sana wale ambao walishangaa timu mbovu ya Yanga inavyoongoza ligi kuu , lakini leo nimeona namna inavyobebwa na ninaamini hii timu huenda imefika hapo ilipo kwa kubebwa ...
KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.
MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA...
KATIKA kuhakikisha Azam TV inakidhi mahitaji na matakwa ya wateja wao, Kampuni ya Azam Media itaanza kurusha matangazo ya mechi za Kombe la FA la England.
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza katika...
Kadi nyekundu ya Eric Bailly jana, kadi hiyo imemupa tano beki huyo raia wa Senegal.
Baada ya Maurinio kufurushwa sasa lazima kuweka nidhamu kwenye defence.
Eric Bailly alitoa onyo kali kwa...
Nawapongeza wachezaji wa zamani wa Yanga ambao wanaenda kuongea na kumpongeza kocha mkuu wa timu Yanga kwa kile alichofanya mpaka sasa akiwa katika mazingira magumu. Wasisahau kumdokezea kuhusu...
Habari za jumapili wanajamvi.
Kama swali linavyo jieleza. Najua kuna taasisi zinazosimamia mchezo wa mpira wa miguu bara na visiwani, !
Je kwanini hawana wazo la kuzifanya timu za mpira wa miguu...