nyamva JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 249 Reaction score 163 Jan 4, 2019 #3 Tunaomba na thamani ya KOSI la NKANA ili tufanye ulinganifu Sent using Jamii Forums mobile app
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,713 Reaction score 128,397 Jan 4, 2019 #4 Haya Watani zangu njooni mkatae. 😀😀
Van pebles JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 3,547 Reaction score 5,942 Jan 4, 2019 #5 Mtahama sana timu Sent using Jamii Forums mobile app
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,602 Reaction score 14,398 Jan 4, 2019 #6 Simba kwa kujifarij bhana. Tupeni na thaman ya kikosi cha Mashujaa Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kwa kujifarij bhana. Tupeni na thaman ya kikosi cha Mashujaa Sent using Jamii Forums mobile app
DAFU NA NDIMU JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,496 Reaction score 5,101 Jan 4, 2019 #7 mvuv said: Simba kwa kujifarij bhana. Tupeni na thaman ya kikosi cha Mashujaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wakikupa nistue mkuu
mvuv said: Simba kwa kujifarij bhana. Tupeni na thaman ya kikosi cha Mashujaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wakikupa nistue mkuu
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,444 Jan 4, 2019 #8 Yani haji manara angezaliwa mtoto wa kike angekuwa kama wale makahaba wanaovuaga madera barabarani wakikimbiza mdundiko Sent using Jamii Forums mobile app
Yani haji manara angezaliwa mtoto wa kike angekuwa kama wale makahaba wanaovuaga madera barabarani wakikimbiza mdundiko Sent using Jamii Forums mobile app
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,377 Reaction score 50,318 Jan 4, 2019 #9 Mwisho wa siku mpira dakika tisini uwanjani.