Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

SIMULIZI:...............................UVUMILIVU BASI. MTUNZI;..............................RAJA SAIDY. WHATSAPP..........................0756920739...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Ndugu zangu jiandaeni tu kisaikologia,maana mnaweza bebeshwa lumbesa la magoli
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Kama mshabiki nilioufuatilia mchezo wa leo kwenye luninga, wachezaji wako wanafanya makosa ambayo hayawezi kuvumilika. Mfano lile goli la kwanza yule mchezaji anayeitwa Chikupe anafanya faulo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunaomba kujua utaratibu wa mapokezi ya timu yetu ya Yanga pamoja na namna ya kutoa michango ya pesa pia wanayanga tujitokeze Mkwakwani siku ya Jumapili yanga daima mbele nyuma mwiko
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa maslahi mapana ya Simba kocha na wachezaji wasione hii video. hawa ni mashabiki wa Al Ahly wakiwa kwenye uwanja wa mazoezi ila shangwee lake kama fainali ya kombe la dunia, hapo bado...
5 Reactions
27 Replies
5K Views
James (Lakers) amekuwa captain ktk allstars kadhaa akiwa Eastern Conference ambazo amecheza dhidi ya Western Conference. Sasa ameteuliwa kuwa nahodha wa kanda ya Magharibi kwenye NBA All-star 2019...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa Simba na Taifa Stars, Shiza Kichuya amesema wakati wake ukifika atakwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi kwani kila kitu hupangwa na Mungu. Kichuya alisema bado anaendelea...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
MANCHESTER UNITED NA KILICHOTOKEA MWAKA 1999. Na Tom Thomas Mwaka 1999 unabaki kuwa mwaka bora kwenye historia ya Manchester United. Mafanikio yaliyopatikana yanaufanya kuwa mwaka bora na wa...
4 Reactions
3 Replies
4K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba Wanasheria wake tayari wamewasilisha ombi hilo kwa viongozi wa Yanga Binafsi naunga mkono madai yake ======== Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Samwel Lukumayi amesema wapo...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Kama kuna sehemu nitakua nimekosea nirekebisheni, huo ni wa tarehe 30/01/2019
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Simba sports hawana bahati ya kupata makocha wazuri kama ilivyo kwa Yanga. Wamekuwa wakiajiri makocha wabovu hata huyu aliyepo sasa Patrick Aussens. Ni kocha gani ambaye ujio wake haubadilishi...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa.. Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai...
15 Reactions
71 Replies
10K Views
Habari wadau, binafsi ni mshabiki wa yanga miaka mingi. Simba ni watani wangu japo tabia zetu zinafanana ndio maana tunaishia kushindana wenyewe kwa wenyewe mchangani huku Natamani sana kabla...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba kufahamu mechi ya Simba na Bandari ianchezwa saa ngapi....tukapozee machungu !
1 Reactions
383 Replies
30K Views
guest-1793102819
Kuna wimbo mmoja nimepita sehemu katika mishe mishe zangu nikausikia.. Unaimbwa hivi. Nanukuu.. Mwambie farao nimeokoka sitorudi tena misri naenda Kanani!! Sasa nikajikuta nashtuka nikawaza kuna...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ball control ndio mchawi namba moja kwa vijana wetu almost timu zote za premier league sana tatizo ni hilo Kwa Sie tuliocheza mpira miaka ya nyuma kidogo ilikua afadhali sana na tulikua na...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari ya alasiri, Mimi ni mama ninataka kujiunga na mashindano ya magari ninaomba kujua ninapaswa kufanyaje ili nipate nafasi ya mimi kushindana. Ninapaswa niwe na sifa gani? Nina leseni na...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
SWALI 1: Umesema una mipango ya kuimarisha kikosi chako katika msimu ujayo ikiwemo kuongeza nyota kadhaa. . Je mipango yako itakamilika vipi wakati klabu haina pesa? na Je una njia mbadala yoyote...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni wazi kwamba Mo Dewji anapigwa hela zake na matapeli yaliyomzunguka. Mazee ya ten percent yameokota wachezaji feki huko nje kwa kushirikiana na mzungu wanadai wanawafanyia majaribio yanawapa...
18 Reactions
78 Replies
11K Views
TAARIFA YA MONACO KUMFUTA KAZI THIERRY HENRY NA KUMRUDISHA LEONARDO JADIM "Klabu yetu inapitia changamoto kubwa sana. Niko tayari kukiri kwamba mimi binafsi nawajibika kwa hali hii. Tunapaswa...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…