Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewasili mjini, Nairobi Kenya tayari kwa pambano lake la Kimataida dhidi ya bondia kutoka Argentina, Eduardo Gonzalez lililopangwa kufanyika Machi 23...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nadhani kupitia hizi ' Hamasa ' ambazo naziona na nazisikia mara kwa mara kutokea sehemu mbalimbali ' Kiufundi ' kabisa tumewafanya sasa Wachezaji wetu wa Taifa Stars badala wawe ' Watulivu ' na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nianze na huyu jamaa.. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Japo zimebaki siku 2 tu game hii kupigwa jijini DSM lakini hakuna mzuka wowote mitaani ! huku kwetu Tandika Mwembeyanga mechi kama hizi huchangamsha mitaa hata wiki mbili kabla ya kuchezwa ...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Hakuna sababu yoyote ya Taifa Stars kufungwa ukizingatia ukweli kwamba Uganda wameshaqualify. Niwe tu mkweli kwa mechi yetu na Uganda hata kama tutamtumia kocha wa Lipuli ya Iringa lazima...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hata FIFA wanajua kuwa katika soka kuna matokeo ya kushangaza.Hivyo nawaomba wana SIMBA msiwe na wasiwasi kwani Simba ni timu ya kuandika historia,kuweka rekodi, kuvunja rekodi na matokeo ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hawa madogo wanafanyiana sub,kuna mmoja anawika kwa mda halafu mwingine akipata chance anafanyia vizuri,Shabalala alikaa benchi mwanzoni mwa msimu kidogo tumsahau kwa kiwango cha Nkwasi,mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salute kwa Simba mpaka walipofika. Kusema kweli Simba ni club ya kutemela sana hata tz, wamefanya vizuri sana game zao hasa za hapa nyumbani. Ukilinganisha na sisi Yanga ambao tulipangwa kwenye...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Yani ukifwatilia page ya wachezaji wa Uganda unakuta Watanzania wanawaambia wachezaji wa Uganda wawaachie washinde ili wana East Africa waende Afcon mimi naona Uganda wanajua kuwa wanaweza...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Kesho time ya taifa kenya inacheza na Ghana usiku saa 3 hapa citizen tv kuna jopo la wachambuzi sita wa mpira wa miguu wakichambua kwa kina kubadilishana mawazo na uzoefu safari ya afcon...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Sina uzalendo sawa mbaguzi sawa yote mseme sawa tuuu . Ila uhamasisahaji wa kisiasa nilouona siendi ng'ooo. Mmewatupa wanamichezo eti wasanii uchwara aka Kamwene andadogs ndo wanahamasisha...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Uganda’s president Yoweri Museveni has instructed the national football side not to lose a match against Tanzania, even if the Cranes have already qualified for next year’s African Cup of Nations...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Huyu Haji nadhani hali yake inaathiri kufikiria vizuri(sorry kwa hilo) kelele anazopiga ni upuuzi mtu badala ya kudeal na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani anamtengenezea Zahera enemity kwa...
17 Reactions
80 Replies
7K Views
Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO...
25 Reactions
122 Replies
13K Views
Wakuu naomba kujua mechi ya Juma pili Taifa Stars na Uganda Ticket zinauzwa wapi? Ili tuwahi mapema? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Huyu jamaa hajielewi na mashabiki wa simba wanaomsaport 1.wewe boss wako ni Samba Zahera boss wake ni Yanga shughulika na Habari za Simba 2.Kutokusafiri na timu Iringa hilo halikuhusu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
TP Mazembe VS TS Malekesa: 8 - 0 Kabangu, Kaluyituka, Kabangu, Kabangu, Kabangu, Mwansa, Lofo, Kabangu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, natumai mu wazma kbsa. Leo tarehe 2/2/2019. Kuna michezo sita kutoka ktk makundi yote manne yaani A, B, C na D. Katika Group A. Timu ya Lobi Star ya Nigeria ikiwa nyumbani...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…