Huyu jamaa hajielewi na mashabiki wa simba wanaomsaport
1.wewe boss wako ni Samba Zahera boss wake ni Yanga shughulika na Habari za Simba
2.Kutokusafiri na timu Iringa hilo halikuhusu.
3.Unaposema aache una maana gani na ww kama nani kwenye soka
Shughulika na simba yako Yanga haikuhusu nimegundua kumbe ndiyo maana ulifungiwa jieshimu brother tuachie kocha wetu wala hujachangia chochote kuja kwake huna maaana kabisa
Umekutana na kisiki Zahera kashakujibu kuwa ww ni............... Jibu mapigo