Simba na TP Mazembe na matokeo ya kushangaza

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,127
33,157
Hata FIFA wanajua kuwa katika soka kuna matokeo ya kushangaza.Hivyo nawaomba wana SIMBA msiwe na wasiwasi kwani Simba ni timu ya kuandika historia,kuweka rekodi, kuvunja rekodi na matokeo ya kushangaza.Haijaanza leo wala jana,subirini mtaona,Simba iliitoa Zamaleki waliokua mabingwa watetezi wa klabu bingwa Afrika.

Wakati TP wakicheza kulinda heshima,Simba watakua wakicheza kusonga mbele na kuvunja mwiko,hivyo mwenye hali ngumu ni TP kuliko simba,hivyo kucheza kwa wasiwasi nakupelekea kupoteza mchezo,Simba ilwahi fanya maajabu mengi,sihitaji kuandika historia hapa wote mnajua.
Matokeo ya kushangaza ya FIFA machache ni Cemeroon kuifinga Argentina world cup Senegal kuifunga Francewolrd cup Nigeria kuzifunga Brazil na Argentina Olympiki.

mifano ni mingi sikumbuki mingine
Ukiondoa fitina ugenini Simba nyumbani huwa inapoteza mara chache sana,
Mpira dk 90,
 
Haya, na matokeo yenu yakushangaza mwana hata ukila,saba ni yakushangaza pia.
 
Back
Top Bottom