Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

kwa hali ya sasa bila kumumunya maneno timu ya England ipo daraja la juu ukilinganisha na miaka kadhaa ya nyuma. England ya sasahivi inaweza kuleta upinzani mkubwa au kushinda timu yoyote duniani...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni mchezaji asiye na maneno mengi, ambaye hakuwahi kupendwa sana na watanzania wengi. Lakini ni mchezaji ambaye tunamwona akizidi kuimalika kwa kiwango kikubwa sana kadri siku zinavyoenda John...
23 Reactions
70 Replies
8K Views
Sisi binadamu ni viumbe wa ajabu sana, wagumu kuelewa, wepesi kusahau. Pia ni wepesi kulaumu mambo yanapokwenda ndivyo sivyo lakini wagumu kupongeza pale mambo yanapoenda vizuri. Leo nataka niwe...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Anaekukimbiza nae ni muhimu sana kwenye mashindano ndio maana wakasema usujisifu kukimbia msifu na anae kukimbiza. Tumeshawapongeza mashujaa wetu kwa kufuzu ila lipo la kutafakari Hapo awari hii...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa upande wangu ni John Bocco aliweza kucheza kwa ufanisi na aliweza ku assist almost magoli yote mawili ukiacha lile la penalt.
13 Reactions
82 Replies
9K Views
Wana jamvi saalam, ama baada ya saalam naomba tuyatafakari haya yafuatayo : Kabla ya mechi ya Jana kuna watanzania walibeza sana kamati ya kuhamasisha ushindi kwa mdai kwamba imekaa kisiasa badala...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Huyu n msemaji wa ruvu shooting ambaye amejizolea umaarufu mkubwa wapenzi wa soka hapa Tanzania na nje ya Tanzania, Leo nimeamua nikukumbushe tu siku timu yake iliposhinda, angalia jinc...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mlinzi huyo wa kushoto raia wa Ufaransa amesaini mkataba wa miaka 5 wa kuitumikia klabu hiyo ya Ujerumani Hernandez atajiunga rasmi na Bayern Munich mnamo Julai 1 mwaka huu wakati ambao dirisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Madrid akili yao yote ni Hazard kwa sasa Huwaambii kitu kwa Hazard Wamewasahau kina Neymar, Mbape, pogba na harakati zao zote kwa sasa ni Hazard Je ni kweli hazard anawazidi kiwango Neymar...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ichi kiumbe hatari sanaa
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Kama mtanzania mzalendo nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa klabu ya Simba kumaliza mwaka 2018 ikiwa miongoni mwa klabu 16 bora barani Africa. Pongezi kwa Mo na Uongozi makini na mashabiki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Uganda,tayari walishafuzu so imefanyika plan ili Tz waende kutoa gundu ila naamini Uganda wangekuwa na point 5 ,Tz tusingevuzu. Vijana msidanganyike Uganda wamecheza chini ya kiwangu coz hawakuwa...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) katika taarifa yake iliyosainiwa na Mkuu wa kitengo chake cha habari , Tumaini Makene , imeipongeza Timu ya Taifa kwa Ushindi mnono dhidi ya Uganda na...
10 Reactions
67 Replies
7K Views
Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Kwa kweli picha iliyoonyeshwa na TFF na Serikali katika kuthamini mchango wa wachezaji wa Stars katika kutuletea furaha Watanzania ni kuwa hata yaliyofanywa na Kamati eti ya hamasa ni kutafuta...
8 Reactions
19 Replies
4K Views
Yaani kabisa niishangilie Simba kuwa inawakilisha nchi, hapana hilo sitaweza na hata wao Simba hawataweza, Ushindi wao dhidi ya Vita umekuwa kero sana kwangu, Walipofika panatosha MUNGU IBARIKI TP...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kapteni wa Taifa Stars, Samatta ameomba TFF impatie Mchezaji mwenzake Kapombe zawadi kama Wachezaji wengine, likishindikana hilo amewaomba Wachezaji wenzake wote wamchangie mwenzao huyo na kama...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Hivi Adam Nditi yuko wapi siku hizi? Huyu jamaa kuna kipindi alivuma kama MTANZANIA ANAYECHEZEA CHELSEA B. Na tuliambiwa anaenda pandishwa timu A. Kuna tetesi alikuwa karibu sana na Shaffih Dauda...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…