Mheshimiwa Rais; Uzalendo sawa lakini kwa kuishabikia simba naomba unisamehe

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,279
6,649
Yaani kabisa niishangilie Simba kuwa inawakilisha nchi, hapana hilo sitaweza
na hata wao Simba hawataweza, Ushindi wao dhidi ya Vita umekuwa kero sana
kwangu, Walipofika panatosha MUNGU IBARIKI TP MAZEMBE, MUNGU IANGUSHE
SIMBA KWENYE MCHEZO HUO.
shuku.jpeg

HAWA NI WASHABIKI WA SIMBA SIKU YA MECHI YA YANGA NA TP MAZEMBE
MWAKA 2016
 
Ni jambo gumu kwa team zenye upinzani wa muda mrefu

Ni sawa na everton washabikie liverpool katika uefa league ni kitu kigumu sana
 
Hatuhitaji wewe kuishabikia Simba, kwa mkapa tunajaza wenyewe kitu ambacho nyie hamuwezi.
Simba ilipoingia robo fainali nchi nzima ilifurahi. Juzi rais alikuwa anatania tu.
 
Bakini hivyo hivyo. Simba iyoooo nusu final na inalamba tena dola laki 8 mpo? Endeleeni kupagawatu.
 
Hujalazimishwa kushabikia Simba,uwe Yanga au Simba au timu yoyote kushabikia timu ya nje dhidi ya timu za ndani ni kukosa uzalendo.Kama huwezi kushangilia timu ya nyumbani basi piga kimya sio kushangilia mgeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mashabiki wa yanga na kikosi chenu cha laki na nusu acheni wivu.

huu muda mnaopoteza hapa nendeni mkatembeza bakuli huko. SIMBA NGUVU MOJA.. mbele mbele yao
 
Nani amekulazimisha.?? Unaleta tabia ya zahera kulala kambi ya VITA CLUB.
 
Hatuhitaji wewe kuishabikia Simba, kwa mkapa tunajaza wenyewe kitu ambacho nyie hamuwezi.
Simba ilipoingia robo fainali nchi nzima ilifurahi. Juzi rais alikuwa anatania tu.
Sema mimi nilifurahi sio nchi nzima.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom