Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama ww mshabik wa man Pia mshabik wa Juve jisemee kimoyomoyo lever yenu Ligi kuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Pamoja na kutolewa kwenye michuano ya Club Bingwa Africa, wa TZ wote tunapaswa kuipongeza The Msimbazi Reds katika jitahada za dhati walizoonesha kwenye michuano hiyo. Aidha, Pongezi za dhati...
32 Reactions
58 Replies
33K Views
sorry waungwana naomba kuuliza hivi ni channel gani wanaonesha game za UEFA champion league kwenye king'amuzi cha azam
1 Reactions
34 Replies
19K Views
Hii ni taarifa ambayo tayari imezagaa mitaa yote ya Temeke , maeneo ya Chuo kikuu DUCE na Bar zote zinazozunguka Uwanja wa Taifa . Tukio hili laweza kuwa onyo na angalizo kwa viongozi wengine wa...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaambia klabu ya Simba hawana uwezo wa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya As Vita Club Jaen Mark Makusu. Kocha huyo amedai Sio Makusu tu hata wachezaji wengi wa...
4 Reactions
65 Replies
12K Views
Simba imekamilosha usajili wachezaji wawili wa timu ya taifa kwa kandalasi ya miaka miwili Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
56 Replies
19K Views
Ni PSG Vs Man Utd Mechi ya marudiano baada ya ile ya kwanza Man Utd kufa 2-0 nyumbani OT. Mimi naamini Man Utd atashinda mechi ya leo japo inawezekana asipindue matokeo on aggregate. Its not...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Moja ya malalamiko makubwa ya wadau wa mpira ni pamoja na ratiba mbaya ya ligi. SASA hapa tunaona jinsi ambavyo hata muda unakuwa tatizo. Fikiria Kesho ni siku ya kazi halafu mpira unachezwa saa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
587 Views
Kama umeshawahi kutana na mtu yoyote bar, akijiita papaa au pedeshzee basi utaona masifa yake, akiwa na Elfu30 utafikiri ana laki. Basi hizo sifa zinatokana na wakongo na ndio maana wanajiita...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
On April 15, 1989, tens of thousands of football fans had travelled to Sheffield's Hillsborough stadium to watch the FA Cup semi-final clash between Liverpool and Nottingham Forest. In a bid to...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaaam Kama tunavyofahamu fainali hizi zilianza jana kwa timu yetu Serengeti Boys kufungwa 5-4 dhidi ya Nigeria.Hata hivyo jana kulikuwa na mahudhurio HAFIIIIIFU (Dhaifu Sana) hii inatokana na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanza napenda kuuliza swali. Je kuna Mtanzania yeyote aliyekuwa anaamini Simba SC itafuzu kwenye Michuano hii? Kama yupo basi ni wale wasioupenda Uhalisia Wa Maisha. Yaani SSC iitoe Tout...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Baada ya Taifa stars kuingia katika Afcon 2019 kule Misri ,Tanzania na Mataifa mengine yaliyofuzu ni kama ifuatavyo TANZANIA KENYA UGANDA BURUNDI DR CONGO ANGOLA NAMIBIA SOUTH AFRICA...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Shabalala anacheza mpira lakini usiovutia, anarukia na kuparamia wachezaji wenzake uwanjani, anatumia fujo kunyang'anya mpira wenzake wanaojali afya zao wasiumizwe na uchezaji wake usiozingatia...
2 Reactions
72 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Niende kwenye mada moja kwa moja...bila shaka sote tunafahamu kuwa Kesho (tarehe 06/04/2019) Simba Sports Club ya Tanzania inaanza Kutupa karata yake ya mchezo wake wa kwanza...
20 Reactions
103 Replies
10K Views
TAARUKI MSIMBAZI, WAANZA KUTOFAUTIANA NA MWEKEZAJI Na SaleheJembe Hali ya sitofahamu imeanza kutokea huko MSIMBAZI baada ya MWEKEZAJI wao kuanza kutofautiana na Viongozi wa Club Kiongozi mkubwa...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Hebu eleze kulingana na vigezo hivi Speed(uharakawalionao je unazidiana au unalingana) Weight(uzito wao) Height(urefu) Check hizi highlight Kwa Anthony Joshua' Alafu check za Floyd mayweather...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Pambano hili limepigwa leo asubuhi katika jiji la New Jersey,hakika huyu binti wa Kimarekani Claressa Shields kutoka jimbo la Michigan ameonyesha uwezo mkubwa wa kusukuma makonde dhidi ya mpinzani...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…