Wale wanaoamini Man Utd atapindua Matokeo tukutane hapa

FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
5,787
2,000
Ni PSG Vs Man Utd

Mechi ya marudiano baada ya ile ya kwanza Man Utd kufa 2-0 nyumbani OT.

Mimi naamini Man Utd atashinda mechi ya leo japo inawezekana asipindue matokeo on aggregate.

Its not over until its over! Mpira UNADUNDA...
 

busha

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,640
2,000
Mkuu Fortaleza samahani..natoka nje ya Mada kidogo,,huyo mwamba hapo kwenye profile yako ni nani...?
Ni PSG Vs Man Utd

Mechi ya marudiano baada ya ile ya kwanza Man Utd kufa 2-0 nyumbani OT.

Mimi naamini Man Utd atashinda mechi ya leo japo inawezekana asipindue matokeo on aggregate.

Its not over until its over! Mpira UNADUNDA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
2,517
2,000
Daaaah basi,yaani nikionaga jamaa umetabiri upande fulani huwa najua kinyume.Hujawahi patia yaani.Ushanivunja nguvu Man U katoka mpaka hapa. 90 PSG 1 Man U 3. Samahani mtoa mada kumbe kuna muda saa mbovu husema ukweli.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,202
2,000
That’s the beauty of Football. If you BELIEVE and WORK HARD as a TEAM to achieve your goals then anything is POSSIBLE even at the HOSTILE stadium. Congratulations MANU!
everlenk
 

absamb

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
541
500
#GGMU
IMG_20190307_025617.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom