Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao. Uzalendo sio kelele...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Mimi Binafsi nadhani huyu Hawa Mniga alikuwa mgombea wa Urais wa (TFF) avhunguzwe, Kwa nini achunguzwe. Unaweza kusema huyu dada ndiye aliyezuia baadhi ya wagombea, kufanya wakose sifa ya...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
1) Katiba yenu iko Kiingereza sio wajumbe wote wanajua Kiingereza, je wasiojua wanaielewaje? 2) Kamati yako feki ilifanikiwa kuwaingiza kadhaa nyuma yako ingawa mchezo ulikuwa mwanzoni kabisa...
1 Reactions
0 Replies
801 Views
Msije kusema hamkuambiwa maana baada ya mzee mpili kukutana na injinia hersi ofisini kwake na kupewa hela za kwenda kushughulikia majini ya huko ikwiriri mkadhani mmemaliza kumbe lile jamaa la...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Tanzania! Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
NILICHOANDIKA Kabla ya uchaguzi na nini kinaenda kutokea uchaguzi wa TFF ndicho kimefanyika. Nilisema watapitishwa kadhaaa mwisho mtasikia ama wamejitoa /ama waliopita nae hawana vigezo ndicho...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wasalaam, Haji Manara aliwakera wengi sana alipo diriki kuwaita waandishi wa habari hasa za michezo kuwa ni "takataka" kwakweli ni maneno yaliyo fikirisha sana wengi na wengi walioneshwa kukerwa...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Shirikisho la Chama cha Soka la Uganda limemaliza Ligi Kuu ya 2020-21 na kutangaza Express FC kama mabingwa. Fufa imelazimika kuchukua uamuzi kufuatia tangazo la hivi karibuni la Rais Yoweri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya France kutolewa Euro msala umemshukia Pogba, inadaiwa hakusaidia defence Kabisa. Inashangaza hadi mama zao na Baba zao wamegombana. Hatari sana.
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mtanzania aliekuwa anachezea Aston villa (AVC) ya England sasa amesajiliwa na timu ya Fenerbahce ya Uturuki. ====== Mshambuliaji wa kitanzania aliyekuwa anakipiga ligi kuu ya Uingereza, Mbwana...
5 Reactions
127 Replies
17K Views
Inasikitisha sana kwa kweli hawa jamaa nilkuwa najua ni manguli wa habari za michezo wako sasa hivi saa 19.50 wanadanganya kuhusu habari ya florente ibenge wakidai ni kocha wa team y a taifa ya Dr...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Je, ni kweli kwamba huyu mzee sasa anaenda rasmi kuwa msemaji wa yanga? Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa huyu mzee ana nafasi kubwa ya kupewa kazi hii na ameanza kufuta rasmi misimamo yake...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii habari iwafikie wale wa Upande B make wameshikiwa akili vibaya mno, yule mtu wa Mumbai anajifanyia anavyo taka. Club imejaa mbumbu tupu wanacho jua ni kushangilia tu basi.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Yalipopangwa makundi ya michuano ya Euro 2020, kuna kundi liliitwa la kifo. Lilijumisha mabingwa wa dunia Ufaransa; mabingwa wa Ulaya watetezi Ureno; mabingwa wa kihistoria wa ulaya na dunia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi unakwenda kumnunua mchezaji wa kigeni kwa gharama kubwa na matokeo yake ni kumtupa bench kali bila hata kumpa game time! Kitendo hichi kinatoa image mbaya sana kwa club yetu na baadae...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Taarifa kutoka DR Congo zinasema Rais mstaafu wa DR Congo Joseph Kabila, atagombea nafasi ya urais wa klabu ya AS Vita katika uchaguzi mkuu utakayofanyika mwezi ujao. Atapambana na rais wa sasa wa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari! Tayari baadhi ya timu zimekwisha kupangwa katika makundi kwa ajili ya mashindano ya 'UEFA EURO 2020', droo iliyofanyika mjini Bucharest nchini Romania ingawa bado haijakamilika huku Kundi...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Wallace Karia amekuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF kuwaengua Evans Mgeusa na Hawa Mninga kwa kukosa sifa...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Hii ndio Tanzania, huwezi kuta hao wanaojiita wanaharakati wanaharakatia kitu kisichokuwa na maslahi ya kifedha kwao Demokrasia ni pana sana, hao wanaharakati wanajua upana wake na wapo kutetea...
1 Reactions
13 Replies
794 Views
Ni siku tangu Wallace Karia ametangazwa kama mgombea pekee ambaye amekidhi vigezo ili kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa TFF kwa Uchaguzi ujao, na imeelezwa kuwa hatopigiwa kura bali...
1 Reactions
5 Replies
815 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…