Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba...
Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" .
Naomba asitokee...
Habari wakuu,
Kwa hali iliyokuwepo wiki nzima kwa baadhi ya viongozi wa klabu hii kupishana maneno hadharani hasa kuelekea game nzito ya fainali inaonyesha hali sio shwari sana.
Unahisi nini...
Ilinishangaza sana baada ya goli kocha wa simba kumuacha luis jose ndani ya uwanja wakati wale WEHU wa utopolo wakiwa wamechaji na roho mbaya zao wakicheza shaolini soccer full Kung Fu
Target...
Wasalaaaam wakuu
Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la...
jemedarisaid ....imetimia misimu 4 kamili Yanga SC haina kikombe chochote cha maana.....
Nami Krav Maga nasema wasipoangalia wanaweza hata Kukosa tena Vikombe vyote kwa miaka 15 ijayo.
Nawahurumia sana mashabiki wa timu itakayofungwa hiyo kesho
Tatizo linakuja wakati wa kurudi Dar
Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi[emoji23][emoji23][emoji23] hapo taifa tu kuitafuta...
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima!
Tumekuwa na wiki ya figisu nyingi. Ni figisu za kutaka kutuvuruga kwa kuwa mpinzani wetu amejikuta hana ubavu wa kutufunga tena kama alivyobahatisha mechi...
Hakika umekua msimu wa mafanikio kwa klabu yetu pendwa ya Simba chini ya uongozi wako Imara.
Tadhmini ya Mafinikio
1) Usajili wa Didier Gomes. Hapa tulilamba dume. Sven alikua kocha mzuri ila...
Kuelekea mechi kubwa Africa mashariki, barani Africa na dunia kwa ujumla yafuatayo ni mambo makuu yanayoenda kutokea kwenye mechi ya tarehe 25. Pale kigoma
1. Yanga kumfunga simba, hapa tuwe...
Naomba kujua maana ya proffessional player .
Sifa zipi zinamfanya mchezaji kua proffessional?
Kuna wachezaji proffessional na asiyekua proffessional kwenye team moja?
Katika lugha ya kiswahili...
Natazama Olympic
Basketball
USA Vs France.
Naona hii USA the dream team hamna kitu kabisa..
Niliona walifungwa hadi na Nigeria kwenye maandalizi ..naona mwaka huu hata medali ya Shaba hawapati
Habari wadau
Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe.
Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia...
Wao wasioamini kinachoenda kutokea keshooo Kigoma.
Wale wa betting mnaweza kula hela hii. Htft Yanga/Yanga, ama htft Simba/Yanga
Red kad itakuwepoo kuwaondoa mchezoni Yanga
Lakini ft Yanga...
Mzuuka jf.
Mpaka Sasa 'kitamaduni za kiafrika' yanga ameshamaliza mechi yake dhidi ya mtani wake simba,haikua rahisi kuicheza hii mechi kwani Simba walikuja kivingine kupitia yule mtaalamu wao wa...
BAADA ya kupenya kwenye raundi ya 16 ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati,Ngao ya Jamii na Mapinduzi Azam FC, imepangiwa...
Caosta union 3, Pamba 1
Aggr 5 kwa 3
kwa maana hiyo Timu hizi zinaenda kwenye ligi zao.
Mtibwa 0 Transit 1
Aggr 4 kwa 2
Kila timu inabaki ilipotoka,
Hakuna kuha mji,