Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jana yanga tumepoteza pointi tatu muhimu katika mechi dhidi ya Rivers united ya Nigeria Simba wametuzomea sana kana kwamba hawajui hali yetu. kwa sasa tujuavyo Simba kwetu sisi ni mke wetu..na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja...
9 Reactions
7 Replies
2K Views
Haitakuwa kazi ngumu kwa kocha, viongozi, wachezaji na mashabiki wa Yanga kujitetea kama ikitokea bahati mbaya wakafungwa na kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa msimu huu. Sababu zao zitakuwa...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Ukiondoa zile ranks zilizotolewa na CAF katika timu bora na mambo mengine Ni sifa zipi ambazo zinasema kwamba hii timu ni TIMU KUBWA Tuendelee kujifunza, elimu haina mwisho
1 Reactions
2 Replies
901 Views
Issue ya kuzuia wachezji wa 3 wa first eleven ya wa nigeria kumjeruhi afisa habari wao na kuzuia viongozi wao wawili haiwezi kupita hivi hivi sababu usitarajie kitenge,priva,mwanaspoti waripoti...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Jionee mwenyewe Hawa majamaaa wanadharau kweli
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Tena na sema yanga watachukuwa kombe la afrika mwaka wa 2021-2022 Andikeni tariki hizi na nina waomba nyote mrudi hapa mwisho wa msimu mje ku comment na nina sema utabiri wangu utakapo timia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ile Kauli mbiu ya Utopolo waliyodanganywa danganywa na Msukule wao kuwa Return of Champions walipigwa changa la Macho. Lengo la Mwamba Manara lilikuwa ni kujipa promo yeye Binafsi kwamba he is a...
15 Reactions
48 Replies
4K Views
Baada ya kuangalia mechi yetu ya leo haya ndo mawazo/maoni/maswali na mapendekezo yangu 1. GSM kupitia Hersi Said kwanini wanahusika kwenye usajili wa wachezaji? Yani Hersi ndo scout wa Yanga...
3 Reactions
69 Replies
7K Views
Kikosi cha yanga kwa Muda waliokaa kambini ni Mchache sana na ukizingatia Safari za hapa na pale! 1st Goalkeeper, Djigui Diarra ni bonge Moja la Mchezaji, hata uwe mnafiki vipi Lazima kazi yake...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Baada ya Timu ya wananchi kufungwa mama katoa mkeka wa Baraza la mawaziri. Watu wamesahau kipigo cha Yanga sasa ni kujadili baraza la mawaziri. Ajenda imehama.
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Haya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa. Utabiri Wangu Huu Hapa Yanga 0 Rivers United 2 Tiririka Mdau
8 Reactions
54 Replies
5K Views
iwapo mechi ya ccl afrika dhidi ya Nigeria Yanga watapoteza na kutoka kwenye mashindano na kisha mechi ya ngao ya jamii Yanga afungwe na simba huu ndiyo utakuwa mwisho wa haji manara !wana Yanga...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Chonde chonde viongozi wangu hasa GSM itilieni mkazo mechi hii na msipoanglia kwa umakini inaweza ikawa chanzo cha nyie kuondoka Yanga. Atleast yanga hiii inatakiwa kufika group stage caf...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka. Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye...
31 Reactions
105 Replies
8K Views
Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Habari zenu wana michezo mliomo humu ndani, hakika msimu wa mwaka 2020/2021 umeisha na pongezi kwa timu zilizoweza kufikisha malengo kwa asilimia mia moja na waliokaribia asilimia mia. Ila pole...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JamiiForums, naamini kupitia hapa ntaweza kujua tofauti kati ya Grand Prix Na Formula one. Asante sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…