Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Katika pitapita zangu kwenye live score nkakutana na mechi za ligi kuu ya Congo league 1. Nlichokutana nacho naona ni vichekeshi kuliko hata kwenye ligi yetu, kama inavyoonesha hapo katika...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Be Sports wameonyesha utabiri wa Simba kupoteza mechi ya leo. Najua Yanga wataisapoti analysis hii na Simba fans wataiponda na hii ndio raha ya mpira duniani
1 Reactions
49 Replies
5K Views
*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni *Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Kesi inayomuhusisha aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga ambaye kwa hivi sasa anakipiga Simba Sc, Bernard Morrison itasikilizwa na kutolewa hukumu leo hii. Morrison anadai kuwa hakusaini...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau Mimi ni shabiki sana wa soka la bongo. Nimejaribu kuvuta kumbu kumbu sijapata kabisa mechi za mashindano ya bongo yenye ladha kama za caf champions league. Jwaneng simpi sifa kwa...
1 Reactions
5 Replies
946 Views
Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba. Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae, story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio...
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Kiukweli jumapili ilikuwa siku ngumu sana kwangu hasa baada wale makiri kiri kutupiga goli la tatu Nikasema ngoja nisubiri manyuu ya OLE GUNA SOSHA ndio kabisaaa ikawa maumivu juu ya maumivu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa...
14 Reactions
84 Replies
11K Views
Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna watu Dua zao huwaga Ni kun faya kun hasa hasa pale Haki inapokuwa upande wao. Na bado!!! Kufa hamfi ila cha Moto mtakiona..
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Inshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10. Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu mmebarikiwa na MUNGU WA mbinguni hakuna laana. Huyu ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya wachezaji wa Simba kwenye mechi Ile. 1. Bwalya Huyu jamaa Kwa Mtazamo wangu NI mchezaji WA kawaida...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kauli aliyoitoa ni Mo Dewji baada ya simba kufungwa nilijua tu Gomes hawezi kupona Nakumbuka kabla hajawa muwekezaji simba alitoa kauli kama hiyo Omog ambaye kwa sasa ni kocha wa Mtibwa Sugar...
11 Reactions
127 Replies
11K Views
Wakuu mmebarikiwa sana na mungu wa mbinguni hakuna laana. Huyu jamaa aitwaye saido ntibanzokiza aliletwa na yanga akitokea huko kwao Burundi baada ya kumaliza kucheza soka Ulaya. Wakati anakuja...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…