Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Michuano yetu ya mchezo wa drafti inaendelea huko kitunda katika ukumbi wa JAVA mshindi wa kwanza kujinyakulia shilingi laki mbili na wa pili laki moja, Mpaka muda huu waliotinga NUSU FAINALI ni...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Picha inaongea: Wawili pichani ni wachezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon, kulia ni Samwel Eto'o na kulia ni Rigobert Song. Wakati wakicheza Samwel Eto'o alikuwa ni mchezaji tegemezi...
9 Reactions
80 Replies
7K Views
Daktari kutoka nchini Zambia Joseph Kabungo ambae jana alikuwa ofisa wa CAF katika mchezo wa kufuzu kombe la Dunia baina ya Nigeria dhidi ya Ghana amepoteza maisha kutokana na vurugu zilizofanywa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi Maana...
7 Reactions
64 Replies
4K Views
Jana hali yangu ya afya haikuwa njema sana,ilibidi ninywe dawa ambazo kumbe zilinipa usingizi.Wakati huo huohuo nilikuwa nasubiri Kwa hamu wanaume wa Kiafrica. Senegal na Cameroon wapindue meza...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Congo 1-1 Morocco FT Cameroon/Mchongo 0-1 Algeria FT Next matches tutachezea HOME HOME HOME Karibuni makamanda wangu
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu nimefatilia game za Senegal vs Misri na Nigeria vs Ghana nimeona viwanja vipo full mashabiki lakini huku kwetu Simba wameagizwa kuingiza 1/2 uwanja inamaana covid ya kwetu ni kali sana?
4 Reactions
7 Replies
873 Views
1- Mohammed El Shenawy hana deni World Cup Qualifiers kama ambavyo Gabasky hakuwa na deni AFCON2021 2- Ni matumaini ya Waswahili kwenda Qatar zaidi ya Mwarabu sababu ya Waswahili watatu katika...
2 Reactions
0 Replies
665 Views
Nina matumaini makubwa na hawa majirani zetu na ndugu zetu waliopo ndani ya bara la Afrika, Algeria, Morocco, Tunisia na Egypt, naimani nao watafika mbali na kutukndolea machungu. I wish all the...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Naaaam, sasa hii ndio maana halisi ya Udhamini Maana halisi ya usimamizi wa Soka letu Maana halisi ya kujali vipaji vya vijana wetu. Kuna wazee wengi nilishuhudia hasa nikiwa Zanzibar ambako...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ama kwa hakika huu ni msiba mkubwa wa tatu kwa watoa bahasha za khaki na wapokeaji wa bahasha hizo , mana msiba wa kwanza ulikuwa goal la SAkho kuwa goala bora la week wakati makanjanja yakiwa...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu Habari ya Wakati. Hivi Kigezo gani kimetumika timu kubwa zote kucheza Mechi zao za Kombe la FA nyumbani? Na kama kigezo ni ukubwa wa timu je Coastal Union ni kubwa kuliko Kagera Sugar...
0 Reactions
4 Replies
886 Views
Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kabangu ameendelea na dharau kwamba Mwakinyo ndiyo bondia bora kwa Tanzania. Hata baada ya jana kumpa kichapo bado ameendelea na msimamo wake uleule. Sasa tunatoa tamko kama kweli Mwakinyo kidume...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakika Manara ni mmoja tu simba mmepoteza mtu hapa, toka Bugatti amejunga na vinara wa ligi kuu tz bara yanga. Amefanikiwa kuipaisha pakubwa clabu hiyo kwenye viwango vya caf, ikumbukwe kuwa...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia. Mara...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Mwandikishe mwanao kwenye mafunzo ya mchezo wa kuogelea kipindi cha likizo ya Pasaka Kuanzia tarehe 9.4.2022. Vyeti vinavyotolewa kwa washiriki wote. Mahali [emoji842]Upanga [emoji843]Tabata...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Bondia wa Tanzania Twaha Kassim Lubaha anapambana na Alex Kabangu kutoka Congo DRC kushindania mkanda wa UBO Super Middle weight, African Title ambao hauna mwenyewe =================== Twaha...
4 Reactions
92 Replies
11K Views
Katika vipindi vya michezo kwenye baadhi ya vyombo vya habari, wamezigawanya habari hizo katika kundi la kitaifa, Afrika na kimataifa. Kwenye za kitaifa mara nyingi huwa wapo sahihi lakini...
1 Reactions
2 Replies
805 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…