Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate
Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia...
Bondia mstaafu Floyd Mayweather anatarajiwa kurejeaulingoni kwa kupigana na Don Moore katika pambano la raundi nane la maonyesho ambalo litafanyika Mei 14, 2022, Dubai.
Mayweather atapigana na...
Wasalaam wanabodi
Sina neno, niseme tu kwamba Mimi ni shabiki na mwanachama halisi wa Dar es salaam Young African
Kuna uzi upo humu ambao umeanzishwa na member mwenzetu humu, akionekana kujua...
"Nimekuwa nikiulizwa sana hili Swali kama Chama kuanzia sasa atacheza Michuano hii ya Kimataifa naomba niseme Chama hatocheza Michuano hii ya Kimataifa" ameandika Ahmed Ally ( Mkuu wa Mawasiliano...
Kiukweli tunapokuwa tunajinasibu kuwa mpira wetu umekua, tujitahidi kuendana na maneno yetu kiuhalisia, kiukweli mazingira kama haya ya pre match meeting ni aibu na kushangaza TFF na bodi ya ligi...
Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi.
Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini...
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Bernard Morrison hawezi kuingia ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kutokana na kuwa na kizuizi cha...
Kweli Azam fc kama jina lake lilivyo limekaa kiurojourojo nahisi wachezaji wake hula iscream tyu, Inasikitisha hata kwa kikosi hiki cha Yanga kibovu umeshindwa kutoa hata sare...
Azam wewe...
Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022.
Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara...
Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa...
Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari...
Leo kutakuwa na Mtinange wa Kukata na Shoka kati Yanga na Azam FC, mechi hii itaanza majira ya saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamini Mkapa
Tunajua ugumu wa game hii ya leo kizingati timu hizi...
Nafikiri ni muda muafaka wa kujitokeza tena kutaja mechi nyingine ambazo yanga atapoteana maana ulizotaja zote yanga kaokota point kibabe, ulianza na mtibwa, kmc,geita gold na azam vipi kuna...
Hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? Nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... Hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. Yeye anajua mimi ni Black American...
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali...
Kutufananisha sisi Yanga na Wanawake ni akili za kipumbavu. Anaposema Orlando Pirates waje wao wanaume watawakuta huku huku maana yake sisi Yanga ni Wanawake? Huyu niliwaambia bado ana Usimba...
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90, USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo...
Siku nyingi nnilikuwa nikijiuliza hivi kwanini hawa simba wana win saana apa nyumbani ?
Je ni uchawi au Nini ?
Nilichokuja kugundua ni kuwa sio uchawi bali simba wana jiamini saana wakiwa...
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Majaliwa ametoa tamko la kiserikali kuipongeza Simba Sc kuendelea kuupiga mwingi na kuitangaza Tanzania duniani kote.
Waziri Mkuu ametoa tamko hilo akiwasilisha...