Juzi bondia Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe alipata fursa ya kuandaliwa pambano na bondia chipukizi wa Masasi aitwae Ramadhan Migwede, Dullah alifanikiwa kushinda pambano hilo kwa knockout ya...
CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football
Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma...
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba...
Habari za kutwa ndungu zangu
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye nia thabiti ya kuweza kukuza mpira wa Tanzania kwa kuwa mchezaji namba 13 yaani namaanisha mwamuzi(refaree) lakini changamoto ni moja...
Inafahamika dhahili msimamo wa timu ya mbeya kwanza na namna ambavyo wapo hoi uwanjani siku zote, si jambo la kujivunia kuwafunga hata kidogo
Si ajabu kpindi cha pili wakawafunga maskini wa watu...
Jumapili hii, msimu wa EPL utakuwa unaenda ukingoni. Bingwa wa EPL atajulikana siku hiyo, vita ya top 4 kati ya Spurs na Arsenal itajulikana siku hiyo lakini pia vita ya kushuka daraja itajulikana...
Huyu mchezaji wa AZAM FC Msimu uliopita alikuwa anaitwa BRYSON RAPHAEL na msimu huu anaitwa SOSPETER BAJANA.
Kwa wanaojua ni kwanini huyu jamaa kabadilisha majina.
Wakuu mbona Dream League nikiingia playstore niambiwa UNAVAILABLE IN YOUR COUNTRY halafu nikidownload kupitia google linagoma ku install inaandika HUENDA KIFAA KIMEHARIBIKA
naomba mwenye kujua...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania, Emanuel Giniki Gisamoda Ameshinda Mbio za "Warsaw Peace Half Marathon 2022" kilomita 21 Nchini Poland, Kwa Kutumia Muda wa Saa Moja na sekunde...
Hakika huyu Mwamuzii wa hii mechi ya leo baina ya Simba na Azam ni refaa wa Mchongo.
Unawezaje kukaa penati ya wazi kama ile baada ya mtu kuunawa mpira ndani ya boksi?
Soka la Bongo kama siasa...
Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika.
Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda...
1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda
2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara.
3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba...
Shabiki wa simba anaejulikana kwa jina la Agustino Mwangosi kutoka kijiji cha kingiri kata ya Ipinda wilayani Kyela, auwawa na shabiki wa yanga (Jina Kapuni) kisa ikiwa ni majibizano ya mchezaji...
Mara nyingi katika mechi hizi inapotokea wachezaji wanapotoka au kufanya kosa ambalo mwamuzi hakuliona huwa tunaona adhabu hufuata baada ya siku chache either kwa mwalimu, mchezaji au timu...
Wakuu,
Kama mnakumbuka wakati wa usajiri kipindi kile yanga kulikuwa na majina mawili mezani,wote wakiwa ni wacongo man
Yaani yanick bangala na henock inonga injinia alianza kumfuata kwanza...
Mkwe wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Michezo kulifunga daraja la Salander(Tanzanite) ili kupisha kuonesha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Real Madrid Vs Liverpool
--
Waziri Mchengerwa...
Popote pale unapoenda lazima kuwe na wakubwa au watu wenye hadhi fulani zaidi ya wengine, ni kweli pia hata ‘treatment’ yao huwa inakuwa nzuri tofauti na wengine, japokuwa haitakiwi kuzidi na...