Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wakuu. Mdhamini wa yanga Mr. Ghalib Said Mohamed amefiwa na kaka yake aitwaye Jamal huko india usiku huu Inna lillahi waina ilayhi raajiuun.
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Bondia Mfaume Mfaume ameibuka na mkanda wa ubingwa wa WBF baada ya kumtandika Said Abdumonem kutoka nchini Misri kwa TKO raundi ya pili. Nacooz zimepigwa raundi ya kwanza na kuhitimishwa na...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Fainali hii itakuwa na faida kwa Wanasoka na Watanzania kwa ujumla.
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Naomba kuwauliza makolo, hivi lile jina pendwa la 'wakili msomi' mlilompatia BM bado mnaendelea kulienzi?
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Nadhani wengi wenu mlisikia kuwa kutakuwa naningezeko la wachezaji wasio zidi 5 wala kupungua 4 kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao. 1. Lazarous Kambole. [emoji736] Huyu ni mshambuliaji wa...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekuwa nikipita katika jukwaa hili la michezo na mara nyingi nimekutana na habari za Simba na Yanga, ama mara nyingi limeegemea kwenye upande wa ligi ya nyumbani hasa mpira wa miguu. Nimeona leo...
7 Reactions
28 Replies
15K Views
Mayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea...
8 Reactions
83 Replies
4K Views
Watu naona wanakimbilia kusema Manara aliruhiana maneno na karia lakini wanasau hilo neno "kurushiana" ni kitenzi cha kutendana maana nae karia alikuwa akirusha maneno. Wengi tunafahamu Karia ni...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za weekend wadau, Weekend inaisha vizuri huku mashabiki wa Yanga wakiwa na nyuso za furaha na tabasamu baada ya jana kupata ushindi katika final ya AZAM SPORTS FEDERATION dhidi ya coastal...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama nilivyo waeleza hapo awali. Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja. Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu...
3 Reactions
4 Replies
759 Views
Sijawahi kuelewa mpira wa bongo. Nimekutana na taarifa hii huko mitandaoni. Huyu si alitangazwa juzi tu?
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Nimepata taarifa za kuhuzunisha juu ya kufariki kwa mshambuliaji hatari wa zamani wa Simba John Makelele Zig Zag pale Muhimbili juzi jioni.Kwa wale mliozaliwa miaka ya 2000, ni Makelele ndio...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama nilivyo waeleza hapo awali. Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja. Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya Wanasoka wamesikitishwa na kukosekana kwa jina la Top Score wa NBC George Mpole kwenye tuzo za Ligi Kuu ya NBC wakidai ni kukosekana kwa uzalendo kwa wachezaji wa ndani...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu wa Soka, Tunaendelea na taarifa kuhusu usajili tulioufanya na maboresho yanayoendelea kwenye benchi la ufundi na kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu. Baada ya mshambuliaji Habib...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Club ya Yanga imefanikiwa kutwaa Taji la FA kwa mikwaju ya penalt baada ya kutoshana nguvu kwa goli tatu tatu.
2 Reactions
4 Replies
733 Views
Hizo Simu ambazo kila mara unapokea pokea tu kuwa nazo makini na Kesho chezesha kwa Haki sasa haribu ukione. Wenye Akili na Mapenzi na Mkoa wa Tanga tunajua kuwa Coastal Union FC ya Kesho itakuwa...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Alisifika duniani kote miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni Swali? Alikuwa nafasi gani uwanja? Jina lake halisi ni nani? Ni raia wa wapi? Na unamkumbuka kwa lipi? Huko mtaani kwenu mlikuwa...
0 Reactions
12 Replies
768 Views
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
6 Reactions
99 Replies
14K Views
Hitimisho kwa michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa mchezo wa fainali kupigwa leo Julai 2, 2022 kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, ambapo Mabingwa wa Nchi kutoka...
7 Reactions
339 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…