Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu It’s fight night for Undefeated kingryan Garcia as he is set to enter the ring against the veteran Javier Fortuna. . Pambano Hili ni this Saturday night live on dazn boxing from Cryptocom...
1 Reactions
3 Replies
500 Views
July 12: Contract extensions for:- Abdallah Shaibu - 1 Year (Ends in 1 July, 2023) Fiston Mayele - 2 Years (Ends in 11 July, 2024) Dickson Ambundo - 1 Year (Ends in 28 June 2023) July 13 - 15...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Admin wa mitandao ya kijamii ya Yanga ana kazi ya ziada msimu huu😆😆😆
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza...
11 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu wa Soka, Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu. Haule...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Watu wakiambiwa Senzo ni genius wanabana pua na kuanza kutikisa masikio, yanga ya sasa ni mooto wa kuotea mbali kiuongozi nje na ndani ya uwanja, wakati itakapokuwa imetoka katika kambi ya kisasa...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha...
15 Reactions
67 Replies
4K Views
Najua kuna watakao nibeza ila msimu unaokuja utakuwa mgumu sana kwa Nabi, kutokana na usajili walioufanya Yanga Africa wana matumaini makubwa sana yakufanya vizuri kwenye na caf champions league...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Lile jamaa libabe la mdomo na kutukana watu hovyohovyo limekula nyundo huko kinachosubiriwa ni kutangazwa rasmi licha ya njemba hilo kulialia kupitia kwa wanasiasa waliombee msamaha.... nitalipia...
0 Reactions
8 Replies
827 Views
Tofauti yenu Mazuzu na Sisi Werevu ni kwamba nyie (Mazuzu) mnasajili Kimihemko na kwa Kukurupuka wakati Sisi Werevu tunasajili Kiutaalam, Kiufundi na Kimkakati hasa. Tunaenda Kukamilisha na...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Teknolojia ya Usaidizi wa marejeo ya picha za mnato kwa Waamuzi ‘VAR’ inataraji kutumika leo Ijumaa, Julai 15, 2022 kwa majaribio kwenye michezo ya Nusu Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa. Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona. Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up. Je, ni wale wachezaji...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Siyo mimi tu washabiki wengi wa Simba wamestushwa na baadhi ya sura walizoziona leo kwenye msafara wa kwenda Egypt Kwa kuwa wenye maamuzi wameamua team iendelee na hekaheka za kutegemea...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
2 Reactions
71 Replies
6K Views
Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili. Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Jana hata kabla ya Simba kutoa taarifa kuhusu kumsimamisha Bernard Morrison nilieleza kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu kwa kile kilichodaiwa kuwa alitoroka kambini...
9 Reactions
100 Replies
13K Views
Hivi Yanga wamesahau kuwa wanakwenda kushiriki Ligi kuu ya Tanzania bara na kombe la club Bingwa barani Africa? Mbona usajili wanaofanya ni kama timu inayokwenda kushiriki La Liga? Mimi nadhani...
14 Reactions
18 Replies
2K Views
BREAKING NEWS: Italian football agent Mino Raiola died after illness. He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc 🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa idara ya habari ya mabingwa watarajiwa wa Afrika dar young africans anayetarajiwa kuchukua cheo hicho mwezi wa 7 ametikisa Bujumbura ikatikisika vilivyo Bwana Manara ambaye ni msomi...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Klabu ya Barcelona hatimaye imekubaliwa dili la kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski kwa ada ya Pauni Milioni 42.5. Kilichobaki ni kukamilisha mchakato wa usajili...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…