Wengi mnazungumza mafanikio ya kutwaa taji mara nne mfululizo ya simba sc pasi na kutoa shukrani stahiki kwa Azam FC.
Ikumbukwe kuwa Azam FC waliwahisani wachezaji wa bure Simba SC. Wachezaji hao...
Sikiliza Mtani.
Masikhara tuyaweke pembeni, ila kuhusu huyu mwanadada nakushauri apewe rikizo ndefu tena isiyo na maelezo ya atarudi lini. Niliwahi kuzungumza hapa jukwaani.
katika dunia ya sasa...
Kuna tatizo kubwa sana pale ndani.
Yes! Barbara amesema “Everything is OK” lakini ameisema ili kuepusha upepo mbaya masikioni pa mashabiki wa soka.
Deep down in her heart kuna kitu...
Leo nimecheki game ya simba sc dhidi ya Prison ambapo simba wamepoteza kwa goli moja.
Kuanzia kikosi cha kwanza hadi walio kaa benchi hakuna mchezaji anayeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza...
Ushauri Wa Simba SC Waiponza Coast Union Kwenye Fainali ya ASFC.
Ifahamike kuwa kwa ubora walionao Coast Union FC ndani ya uwanja walikuwa nanuwezo wa kupata matokeo safi dhidi ya Mabingwa wa...
Leo mchana mazungumzo yaliyodumu kwa kwa zaidi ya saa 96 yalifikia tamati baada ya wawakilishi wa Sadio Ntibanzokinza kushindwana na uongozi wa Simba SC kwenye baadhi ya maeneo kwenye mapendekezo...
Mwanzo nilitaka kuamini ila ni BIG NO! No Disrespect ila Kyombo is an Avarage player and an average players makes an Avarage team.
Tangu last summer Transfer simba wamedrop standard ya...
Huyu mwana ni mjanja sana.
Yaani amejimilikisha Klabu kijanja janja tu (Kama asemavyo KIGWANGALAH)
Kwa namna anavyopenda kusifiwa na kupigiwa magoti nimeshangaa sana kuona kwanini haonyeshi hizo...
Baada ya mabingwa wa ligikuu kutangaza kubaki na Moloko huku Yacouba Sogne na Chico Ushindi kupewa mkono wa kwaheri, ni dhahiri sasa Prof Nabi amekusudia kumtumia Stephane Aziz Ki atakuwa...
Licha ya Simba SC kusaini pre-contract na mchezaji, Ceaser Manzoki bado yuko namkataba na klabu ya Vipers SC ambao unaisha mwezi wa 10 mwaka 2022.
Kumbe Simba SC wameshindwa kutoa mpunga wa Dola...
Naam Bechem United haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF na mafanikio yake makubwa ni kuchukua kombe la FA la nchi yao (kama ASFC hapa Bongo).
Timu aliyotoka Aziz Ki Asec imewahi hata...
Msaada kubwa unahitajika Msimbazi kuhakikisha wanachangia pesa takribani Milion 100 ili kuhakikisha wanaenda kuvunja mkataba wa Manzoki.
Vinginevyo Rais wa klabu ya Vipers SC ameweka bayana kuwa...
Mabingwa wa Uganda wanatarajiwa kushiriki katika kilele cha Wananchi hapo Agosti 6.
Pia Mabingwa wa LigiKUU Tanzania Bara watatumia mtanange huo pia kufanya tathmini ya Mchezaji Ceaser Manzoki...
Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli alitaka Kutudanganya na Kutuficha kuwa Yanga SC hawako katika Mzozo wa Kimkataba na Wakala wa Hoteli huko nchini Uturuki ambako Klabu ya Yanga ilikuwa waende kwa...
Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia.
Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15...
Pre season ni ushamba kuwachosha wachezajina mechi zisizo na kichwa wala miguu ni ushamba tu, hakuna cha kubadili hali ya hewa wala saikolojia kwa sababu kwa sasa saikolojia ya wana yanga iko...