Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jaman hili ni goli tuuuuu na haliondoi ukweli kuwa mmekuwa na poor performance in 2021/22 season. Aidha, Haliondoi the fact kwamba mmepigwa na Prisons, Mbeya city na Kagera kwenye ligi. Pia...
12 Reactions
76 Replies
3K Views
Haji Manara alifungiwa mwaka 1 na faini ya shilingi Milioni 9 mwezi April 2017 baada ya kukutwa na Makosa 3 ambayo yaliwekwa wazi na Kamati ya Maadili ya TFF. 1) Kuituhumu na Kuidhalilisha TFF na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Mfatilie vizur uyu Jamaa Toni kroos, Tangu nmeanza kumfatilia akiupiga mwingi kwenye ile world cup ya 2014, na viatu Hivi Hivi akiwa Bayern mpaka anahamia madrid. Uyu Jamaa Hajawai kabisa...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Marekebisho: Dhalilisha ndiyo neno sahihi.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Tunaendelea kupokea pongezi kila kona ya dunia. Safari hii tumepokea pongezi toka ikulu ya Senegal kupitia kwa Rais Sall.
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeuona mpira wa Simba Leo, kiukweli japokuwa wameshinda bao 4 0 lakn mpira umepigwa mwingi sana, bao la kwanza alifunga Mosses Phiri, Mkude akaweka la 2, Kagere akaweka la 3 na Pape Sakho...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao Wakiongozwa na Shaffih Dauda. Na wengine akiwemo Ally Mayai Tembele.. 1: Yanga 2: Azam 3...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Hakika Yanga sc mmetuheshimisha wana jangwani kwa kombe bora na zuri kama hili.
1 Reactions
3 Replies
865 Views
Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Somalia katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) kwenye Uwanja wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili. Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda. Wakala...
7 Reactions
95 Replies
6K Views
Wanamwita Mzee wa kunyunyiza a.k.a Sadio Mane wa east Africa. Mpira unaompa shida KIBU DENIS ndio huohuo SAKHO anauchezea atakavyo. Kiukweli huyu jamaa anajua ni msaada mkubwa kwa Simba SC kama...
11 Reactions
65 Replies
4K Views
Nipo hapa naangalia mechi ya CHAN kati ya Taifa Stars na Somalia, nadhani watu wengi tuliwa-underrate Somalia. Jamaa wanaupiga mwingi sana tu. Ni kama tuliona hawa jamaa tutapiga pasi mbili...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Lakini Sope hii hukumu kaikataa bana, yeye mkubwa kuliko TFF na hawana la kumfanya
1 Reactions
1 Replies
746 Views
Kina reflect vizuri sana kwenye jua vile vya kwetu sijui huwa vinakuwa polished na kiwi?au mbao za mninga? anyway sakho karudi leo kambini lakini jana pia alicheza vs pyramids ambapo simba...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
"Msifadhaike hata kidogo tuombe uhai tu coz dhulma huwa haina mwisho mwema na always haki hushinda, ni suala la muda tu". "Sipoi hata tone na tabu ipo pale pale sana sana ndio itazidi, otherwise...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha...
1 Reactions
3 Replies
825 Views
MASHINDANO YA RIADHA YA DUNIA July 16 2022 Eugene, Oregon USA Kama watashinda mbio za marathon za 42km Jumapili ya tarehe 17 July 2022, basi wanariadha wa Tanzania Emanuel Giniki GISAMODA |...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Msimu wa 2014 YANGA ilitoa Top Scorer wa CAF Champions League/LIGI YA MABINGWA AFRICA hata na wala huezi kukuta wachambuzi wa mchongo wanaisema hii kwa ukubwa wake!
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…