Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika...
Vilabu 20 bora zaidi Afrika;
1. Al Ahly
2. Raja Casablanca
3. CR Belouizdad
4. Wydad Casablanca
5. Pyramids FC
6. Atletico Petro De Luanda
7. Zamalek
8. Mamelodi Sundowns
9. JS Kabylie...
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za...
Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo
Kwa ushauri tu kama unataka jezi...
mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana...
#Kutoka_mwanasport
Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake...
Klabu ya Azam FC leo Julai 29, 2022 imezindua rasmi Jezi mpya kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano wa 2022/2023.
Nyeupe (Home Kit)
Blue (Away Kit)
Nyeusi (Third Kit)
Mkimbiaji wa marathon kwa wanawake Jackline Sakilu jana alifanya kilichofanyika na mwanariadha Mtanzania mwingine John Stephen Akhwari katika mashindano ya marathon katika Michezo ya Olimpiki...
Rasmi, ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam imezinduliwa Jana, kwa watu wa mikoani mnaosafiri kuja Dar msihangaike, fika town, pitiliza jangwani pale chukua jezi yako ya yanga then vaa anza kufata...
Kocha Zoran ameendelea kugawa dozi kwa wachezaji, huku akimkomalia Bocco, akimtaka kuchagua moja kati ya kucheza mpira na kubakishwa kambini au awafuate kina Meddie Kagere, Chris Mugalu na Taddeo...
π utopolo bhana Kumbe jezi zao mpya waliiga kutoka sehemu fulani ila wao kwazidisha madoido matokeo yake kututia aibu tu .. ama kweli nyuma mwiko mbele mwiko ππ
Watu wa Soka,
Jioni ya leo tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Arusha City FC ya hapa hapa jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya mazoezi yetu katika kipindi hiki ambacho bado tupo kambini...
Tetesi zinasema mastraika wa kigeni wawili, Maddie Kagere na Chris Mugalu, pia kiungo Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha zoran na kutanabaisha kabisa kuwa hawako kwenye mipango yake msimu huu na...
Hakuna mtanzania asiye shabiki wa simba/yanga kama hawapo ni wachache sana, hata hao wachambuzi wa michongo wa nchi hii wote wamegawanyika katika teams hizi mbili
Kwa mfano kitenge ni Yanga...
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza...
Ronaldo aichezea Man United, aondoka uwanjani baada ya kufanyiwa 'sub'
Cristiano Ronaldo ameichezea Manchester United mechi ya kwanza baada ya kukosekana kwa zaidi ya mwezi mmoja, pamoja na hivyo...
Hii habari ya Senzo kuachana na Utopolo ni kama hajaiona hivi, angekua ni Gonzalez katimka Simba, angepost kuanzia asubuhi hadi kesho.
Chambuzi la michongo pale mawingu fm.
Mbabani July 31,2022...
Kwenye mchezo wa golfu Kuna fundi mmoja alitawala mchezo huo Kwa kipindi kirefu sana alimarafu kama Tiger woods wazungu wanaita GOAT greatest of all time . kweny mchezo wa tennis Kuna fundi mmoja...
Na ninavyowajua hao mliowafunga hizo Goli 9 kwa 0 leo ni kwamba 95% ya Wachezaji wao ni Wabwia Unga, Bangi na Mateja na nimeshangaa kuona mmewafunga Goli hizo 9.
Tarehe 13 August,2023 mtatukoma!!!!