Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa...
4 Reactions
136 Replies
10K Views
Kimeumana, Baada ya Manara jana kukiuka adhabu ya kifungo, leo TFF wamewapeleka kwenye kamati ya maadili Rais wa Yanga na Manara.
0 Reactions
6 Replies
666 Views
Mechi nne zilizopita za Kimataifa ambazo Yanga kacheza, kaishia kupoteza zote. Alianza kupoteza alipocheza na Zanaco, wote tunajua Kapumbu alivyowafanya. Kisha wakapoteza mechi mbili za home &...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni kweli Engineer Hersi ni mshkaji wa Manara, lakini linapokuja swala la kutii mamlaka ya TFF na kamati zake, Taasisi yoyote ile iliyochini ya mamlaka za TFF inapaswa kuziheshimu. Yanga kama...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Azizi Ki, Morison, Mayele, Bigirimana na Joyce wote ndani halafu tunapata matokeo sisimizi... Usajili wakijinga sana huu sijawahi kuona hata sijui nitarudi vipi nyumbani leo
4 Reactions
6 Replies
665 Views
Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Najiuliza tu mechi ya Leo vipi ngekuwa ni caf champion league,.yanga walishapigwa tayari ,
2 Reactions
6 Replies
939 Views
Mchezo wa soka ni miongoni mwa michezo inayokusanya watu wa itikadi tofauti kabisa , mnaweza kuwa na makandokando yenu ya kisiasa lakini mkaja kukutana kwenye soka , kwa kifupi soka ni ya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Hakukua na umuhimu wowote ule kumfanya Mzee Kina ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa Mgeni rasmi kwenye kusanyiko lenye Watu wenye itikadi tofauti za Vyama. Wamevuna walichostahili. Saafi...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wadau, Mapambanao yanaendelea japo nyama ngumu kila siku afadhali ya jana. Ikiwa imepita siku moja toka club ya simba kuweka hadharani dau waliloweka M–bet kwenye mkataba...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwanza nitamke wazi kuwa mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya kuandika ninachotaka kukiandika hapa. Tukirudi kwenye mada, TFF kama shirikisho la soka hapa nchini, ni wazi limeundwa kwa mujibu wa...
2 Reactions
17 Replies
948 Views
Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu. Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili...
3 Reactions
6 Replies
921 Views
Klabu ya Yanga imetangaza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, ni mgeni rasmi kwenye tamasha la wiki ya Wananchi 2022/2023 linalofanyika leo Agosti...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
The greatest master of ceremony wa kujitegemea aliyelipwa milion 15 kusheheresha shughuli kubwa kabisa iliyojaza uwanja pomoni yaani mwananchi day iliyojaza watu 60,000 bila mapengo kuonekana...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Nilisema kuwa zile za Ulaya bado hazijafika. Kuna uwezekano zikatumika hizi. Hizi zitatumika hadi kwenye Ligi pia. Kila la kheri watani zangu. Maana uzi wenu ni takataka tupu. Note...
2 Reactions
3 Replies
686 Views
Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF. Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Kinye FC na wasemaji wake wanapenda kumsifia ujinga boss wao.Kutokutumia mitandao ya kijamii ni ujima sio kitu cha sifa. Mtu mwenyewe hana shule hata cha kuandika huko atakipata wapi? Utajiri wa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Manzozi naye kajibu nakuja Simba nitakuwa mfungaji bora NBC . Wakuu wanasimba naona akija ni vizuri ila asipokuja pia poa haya mashindano ya nini,Simba na Manzoki wamepeleka malalamiko...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nasikia ili Kutotuudhi wana Simba SC ( hasa Team Manzoki ) wanaoongozwa nami mmeamua Kuwasajili Mzungu Mserbia na Manzoki ila Kanoute anaachwa. Mkifanya hivi Mimi nanyi yataisha
0 Reactions
6 Replies
850 Views
Imebaki siku 1 pekee kwa Simba kufanya siku yao huku wakiwa hawajazindua jezi, hawajasajili nafasi za kurithi Kagere na Mugalu
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…