Yaani mpaka Nikasirike na Mnikere ndipo muamue hili? Mkilifanya nitawapenda na Kusamehe yote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,877
Nasikia ili Kutotuudhi wana Simba SC ( hasa Team Manzoki ) wanaoongozwa nami mmeamua Kuwasajili Mzungu Mserbia na Manzoki ila Kanoute anaachwa.

Mkifanya hivi Mimi nanyi yataisha
 
Nakuhakikishia Simba haiwezi kumuacha Manzoki! Trust me. Wanaweza wakasubiri mpaka dirisha dogo lakini sio kumuacha! Na Manzoki asingekuwa na jeuri ya kumuambia Eng. Hersi kuwa anakuja Simba Sc . na ayakuwa ni top scorer msimu huu
 
Bora ya kike huyu ni shoga kabsa,huyu hajawahi kuwa na akili
Una mambo ya kike sana,kwa siku unafungua nyuzi kumi za simba zote unalalamika na kususa,unamsusia nani,we ni a small particle hata ukisusa simba inasonga mbele,tafuta hela dogo
 
Back
Top Bottom