Simba Day bila Jezi wala kumaliza usajili

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,323
Reaction score
103,594
Imebaki siku 1 pekee kwa Simba kufanya siku yao huku wakiwa hawajazindua jezi, hawajasajili nafasi za kurithi Kagere na Mugalu
 
Kaandika Shafii Dauda..

Kuna dunia ambayo Simba wanaishi, ni dunia ambayo wanaamini hakuna makosa, wanaamini ni wakubwa, wanaamini kila kitu kinachofanyika ni sahihi sana

Hata pale ambapo wameharibu watahitaji kupamba na kuonekana hawajaharibu, hata pale watapopaswa kuambiwa maneno machungu ya ukweli watahitaji nyimbo za mapambio

Siku chache zimesalia kuelekea Ngao ya Jamii hawana jezi mpya, masaa yamesalia kuelekea Simba Day hawana jezi mpya, lakini ndio klabu hii ambayo tunalazimishana kuiita kubwa, klabu yenye weledi? Excuse me

CEO kama Mtendaji wa klabu you are in for this, suala la jezi sio option ni lazima, suala la merchandise ni compulsory na linafahamika, inatia ukakasi kwa namna mnavyoyaendea mambo, inafikirisha sana

DIGALA siwezi kukubali kuwa kwenye dunia ya praise and worship, sio dunia nzuri ya kuficha makosa na kuonekana mema, sio dunia nzuri mambo yakienda mrama watu wasake namna ya kujificha sio sawa na hii ni AIBU

Kwa Shabiki wa Simba anayejua mpira na kuelewa maana ya biashara anafahamu kuwa hili mmeharibu, lakini kwa Shabiki yule oya oya tu ataona DIGALA nachonga, ataona Digala ana nongwa ila in details nawapa dawa ya kuwaponya

Kwakuwa hili mmeshaharibu sio vyema msimu wa 2023/24 mkarudia tena makosa, hakuna excuse kwa matukio ambayo yana time frame, hakuna excuse ya Mdhamini wala usafiri, jezi sio suala la bahati mbaya

Hakuna wimbo wa maana utakaotungwa kuepusha aibu hii, hakuna wimbo utatungwa kuepusha kadhia hii, ndio ni klabu maarufu sasa pambaneni kuusaka UKUBWA, ukubwa una details zake, ukubwa una indicators zake, BADILIKENI

DIGALA naamini mpira ni darasa kubwa, utawala ni darasa kubwa, muda wa kuendelea kujifunza upo na naamini tukae darasani kama Wanafunzi watiifu na sio Walimu wakorofi

DIGALA
 
Mikia watapinga.
 
Nasikia wataingia kifua wazi
 
Makolo ni Makolo tu.. hamna kitu pale.. Tuacheni sisi Yanga wanaume wa nchi na Club kubwa Africa Mashariki na kati tuinjoy ByutyByuty Day
 
Uto na Ihefu ni level Moja . Acheni kutafuta ukubwa usiowahusu

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hivi nyie Makolo mnatuzidi kwa lipi sie Wananchi.. tumewazidi Kila kitu, si kwa makombe si kwa mafanikio.. mpaka warembo tumewazidi.. Hakuna Timu Ina mademu wabaya kama MakoloFC
 
Kweli na mmepanda viwango vya caf baada ya pitso kuja yanga day maana ndivyo zeru zeru anavyowadanganya hvyo vp leo hajaomba msamaha huko Instagram mr misifa.
 
Simba wamekosea, na inasemekana bado wanarumbana na kit maker kuhusu nani ataingia gharama za kubadilisha jezi, maana kuna jezi zaidi ya 200,000 zilikua zimechapishwa kwa sportpesa kama main...

Nani atalipia hizo gharam, maana inabidi ziharibiwe, kwani hakuna atayenunua zenye sportpesa
 
Aisee.....
 
Kaandika Shafii Dauda..

Kuna dunia ambayo Simba wanaishi, ni dunia ambayo wanaamini hakuna makosa, wanaamini ni wakubwa, wanaamini kila kitu kinachofanyika ni sahihi sana

Hata pale ambapo wameharibu watahitaji kupamba na kuonekana hawajaharibu, hata pale watapopaswa kuambiwa maneno machungu ya ukweli watahitaji nyimbo za mapambio

Siku chache zimesalia kuelekea Ngao ya Jamii hawana jezi mpya, masaa yamesalia kuelekea Simba Day hawana jezi mpya, lakini ndio klabu hii ambayo tunalazimishana kuiita kubwa, klabu yenye weledi? Excuse me

CEO kama Mtendaji wa klabu you are in for this, suala la jezi sio option ni lazima, suala la merchandise ni compulsory na linafahamika, inatia ukakasi kwa namna mnavyoyaendea mambo, inafikirisha sana

DIGALA siwezi kukubali kuwa kwenye dunia ya praise and worship, sio dunia nzuri ya kuficha makosa na kuonekana mema, sio dunia nzuri mambo yakienda mrama watu wasake namna ya kujificha sio sawa na hii ni AIBU

Kwa Shabiki wa Simba anayejua mpira na kuelewa maana ya biashara anafahamu kuwa hili mmeharibu, lakini kwa Shabiki yule oya oya tu ataona DIGALA nachonga, ataona Digala ana nongwa ila in details nawapa dawa ya kuwaponya

Kwakuwa hili mmeshaharibu sio vyema msimu wa 2023/24 mkarudia tena makosa, hakuna excuse kwa matukio ambayo yana time frame, hakuna excuse ya Mdhamini wala usafiri, jezi sio suala la bahati mbaya

Hakuna wimbo wa maana utakaotungwa kuepusha aibu hii, hakuna wimbo utatungwa kuepusha kadhia hii, ndio ni klabu maarufu sasa pambaneni kuusaka UKUBWA, ukubwa una details zake, ukubwa una indicators zake, BADILIKENI

DIGALA naamini mpira ni darasa kubwa, utawala ni darasa kubwa, muda wa kuendelea kujifunza upo na naamini tukae darasani kama Wanafunzi watiifu na sio Walimu wakorofi

DIGALA
Kwa hiyo unaona kuwa kaandika ukweli mtupu?
Sio huyu aliyesema kuwa Simba nu underdog na sasa ni miaka 5 imepita na Simba wako kwenye daraja la juu kisoka Afrika?
 
Back
Top Bottom