Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Karibuni sana wachimba madini, team letu ni la kisasa na la kizungu halina mambo ya kizamani yale ya kiswahili eti kufanya mazoezi kwa kjifichaficha Karibuni sana Mo arena kuanzia kesho jumatatu...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini? Mwanamichezo...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba. Halafu...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi . Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza nianze na kuwapongeza Yanga kwa kutwaa ngao ya jamii ikiwa ni sehemu rasmi kabisa ya kufungua pazia la ligi kuu. Wakati usajili unaendelea Kila timu ilikuwa na tambo za namna yake hususani...
6 Reactions
5 Replies
661 Views
Alipoingia mzungu, Simba ikaanza kupya na ndipo Yanga walipotake advantage ya kuisumbua Simba! Uchezaji wa mzungu ni ulele kwanza haoni margin uwanjani pia hakabi, chenga hajui!... Kweli viongozi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mashabiki makini wa Simba SC Mnyama tutakuwa hapa Live Jamiiforums. Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea...
40 Reactions
589 Replies
44K Views
Wadau wa kabumbu tumeshuhudia timu zetu pendwa Simba na Yanga zikicheza Mechi za kirafiki. Kwa viwango vilichooneshwa na timu hizo unadhani nani anaenda kuteseka hiyo tarehe 13/08/2022?
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Kwa rafu mbaya aliyomchezea Sure boyninapendekeza kamati bodi ya ligi kuiangalia vizuri video ya mchezo huu wa ngao na kuangalia rafu mbaya aliyocheza Inonga dhidi ya Sure boy. Na mbaya zaidi...
1 Reactions
1 Replies
840 Views
Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu. Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo. Henu fikiria Simba chali Man u chali Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
0 Reactions
5 Replies
665 Views
Habar Wana jamvi, Niende kwenye mada moja kwa moja wiki iliyopita jezi za Simba zilizinduliwa ila baadhi ya watu tulikosa Na walisema baada ya siku mbili Sasa jamani nauliza VP zimekuja Tena kwa...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Jesus Moloko ana sifa kuu mbili. 1. Ni winga mwenye mbio. 2. Ana kismati sana. Kasi ya Yanga kipindi cha pili Moloko amechangia kwa kiasi kikubwa sana.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
Jose Mourinho yuko mbioni kujiunga na klabu ya Manchester United pale msimu wa majira ya joto utakapowadia, baada ya kukaa nje ya soka kwa muda kutokana na kutimuliwa kunako klabu ya Chelsea...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Bila shaka msimu huu anachukua utopolo tena, Mpira ni science sio sifa sifa na kuleta makocha wabovu. Yanga wako compact sana na wameongeza watu wachache, hivi game Kama hii unamuanzisha Mwenda...
0 Reactions
1 Replies
568 Views
Mzuka wanajamvi! Hadi Sasa hivi navyoandika huu uzi Mani ishachapwa 4-0 na vibonde Brentford na ni dakika ya 87, Tatizo Nini? Inasikitisha Sana na wachezaji wao wanalipwa mishahara mikubwa Sana...
3 Reactions
9 Replies
795 Views
Yani unakuta wanasimba wasiojua mpira wanaponda kiwango cha Mzungu Kuna cha kujiuliza hapa kabla ya kumshambulia kuwa hajui 01/ Mchezaji anaingia wakati team iko katika Hali ya kuelemewa kimchezo...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana. Ni ujeuri...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Huyu mchezaji ni wa kawaida mno .sijui kwann yupo simba ?? Nani kamsajili yule jamaaa hata mimi sina mazoezi lakini haniwezi.chakusikitisha phiri hata bench hayupo .kingine cha hovyo ni kumtoa...
3 Reactions
5 Replies
868 Views
Daahh huku Manchester United na Simba pia ndo hivo[emoji25][emoji25]
0 Reactions
3 Replies
558 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…