Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki...
Kuna anaejua idadi ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania kwa sasa hasa ligi kuu?..
Tunaweza weka list kujua ni nchi ngapi zina wachezaji ligi yetu..
Nigeria ..
Ghana
Ivory coast
Senegal...
UFUNDI WALIOUNESHA SIMBA kipindi cha kwanza hadi kufikia kupata bao la kuongoza ni tahadhali nzuri ya kujifunza kuelekea kuchukua bingwa mfululiizo. Huyu kocha wa SSC ni mzuri sana sana na...
Mpira Ni burudani, mpira sio ugomvi, dhana ya mpira Ni kutuweka pamoja
Hivyo wewe usiye mdau wa yanga SC tia neno moja la nguvu kwa mtani wako wa nguvu
Happy Mwananchi day
Kila la kheri Tate...
Simba One team one dream
Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona
Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata...
Kinachoendelea dhidi ya Mshambuliaji wa Simba, sio sawa wala huu sio ushabiki ni ubaguzi na upumbavu wa hali ya juu!
Sijui uko alipo anajiskiaje huyu mwamba!
Kibinadamu sio fair kabisa hii
Ukifuatilia matokeo na mwenendo wa timu hizi mbili hasa katika ligi yetu utagundua Simba anabebwa sana katika game zake kwa mambo mengi, mfano tu mechi ya majuzi hapa
1)Faulo ya Inonga dhidi ya...
Kuna dhana duni na hoja dhaifu zinaanzishwa na watu dhaifu hususan wale Mashabiki waliopasuka vidali baada ya kuona timu yao Ni dhaifu hivyo kuanzisha hoja dhaifu ili kutafta furaha kwa nguvu...
"Mimi wala sio Mwanachama wa Simba mimi ni Mwanachama wa Coastal Union, na ile picha ni ya zamani, nilitumwa niende kwenye Simba Day kumuwakilisha kiongozi wangu wa kipindi hiko, nilivyofika pale...
💥BYUTI BYUTI vs UNSTOPPABLE
Direct Footbal vs Lunyas Phylosopy.
✍️Game approach and Mentality.
Ni mchezo unaohitaji nidhamu ya hali ya juu na wachezaji wenye uwezo wa kuamua matokeo kwa timu...
Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao.
Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika...
Yanga Sc wanao julikana kama timu ya wananchi hasa pale wanapo kua hawako sawa kiuchumi kakini hua wa kimataifa mambo yanapo kua byeeeee..!!
Mashabiki wanachama na viongozi wa clabu hii yenye...
Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga.
Kocha anafanya...
Watu wengi wamemponda mshambuliaji wa Simba Dejan wakidai sio lolote, hawajui hata Pape Sakho walisema hivyo hivyo kuwa hana uwezo wa kucheza Simba, walisema Peter Banda hana uwezo, walisema...
Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye...
INDIA YAWAPA MEDALI MASHUJAA WA MADOLA
Na John Mapepele
Serikali ya India imewapongeza mashujaa wa Tanzania waliorejea na medali kutoka kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyomalizika hivi...
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri
Naomba niseme kidogo kwa anayopitia huyu mchezaji mwenye kipaji bwana mdogo Mason Greenwood kwa sasa.
Mwaka 2015 mchezaji wa Sunderland na timu ya Taifa ya...
rais Wales John Karis na katibu wake wanastahili kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi
Kutokuomba ombi la kuruhusu caf mashabiki kuingia uwanjani mechi ya kimataifa yanga na river ya naigeria ni...