Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bila ya salamu!! Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji...
16 Reactions
31 Replies
3K Views
Hapa bongo yanga wameshashinda gemu nje ya uwanja, nawaona wanakwenda kubeba ndoo tena msimu huu, Kwanza ratiba ya ligi imewaweka pazuri, hili ni kosa Simba wamelifanya, mchezo wao yanga wa kutoa...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Mpaka sasa wachezaji wa Simba, Dejan, Phiri, Okwa na Okrah wamefunga mabao katika mechi mbalimbali za Simba, hatujaona wachezaji kama Aziz Ki, Kambole nk waliosajiliwa kwa mahela mengi wakifunga...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Nabi Ball Nabi Tactics. * Yanga iliingia na system ya 4-2-3-1 ,wakati iliingia na system ya 4-4-2 . * Kwenye 4-2-3-1 Yanga wali win kwenye eneo la kiungo kwasababu 4-2 ya Coastal Union...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Jaman aisee huwa naipenda sana Soccer 24 App kwa ajili ya LiveScore games ila sasa hivi nataka kui-download siipati Playstore wala Google au wamebadili jina wakuu? Naipataje?
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Kama kweli wewe ni mfatiliaji mzuri timu ya Yanga. Mara nyingi Fiston Mayele amekuwa akiingia golini kwa wapinzani na kugusa nyavu zao. Na akimaliza kugusa nyavu kinachotokea kwa mpinzani ni...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkongwe wa ndondi Mike Tyson (56) ameonekana akiwa mdhoofu kwenye kiti cha magurudumu katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Miami Nchini Marekani. Tyson ambaye ni mmoja wa mabondia waliofanikiwa...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wadau wa soka na mashabiki wa kandanda nchini Tanzania, Mapambano yaendelee maana sio kwa msoto huu huku kitaani mambo ni magumu twende kwenye mada:– Ukiangalia mambo...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Usajili wa wachezaji wageni: Kutumia social media kusema kuwa kila mchezaji mpya unaemsajili ni Bora kuliko aliyeko kwenye position Sasa sio lugha sahihi kutumiwa na kiongozi mkubwa ndani ya...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi...
21 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakurungwa salamaaa, naomba kujua ukubwa wa Uwanja wa Azam Complex (sehemu ya kucheze - Pitch) ni sawa na Uwanja wa Mkapa?
0 Reactions
17 Replies
47K Views
Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022. Wafungaji wa #LeedsUnited...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira Tanzania linatakiwa kuchukua hatua kali zaidi kwa @hajismanara kwasababu ameendelea kukiuka adhabu aliyopewa ya kufungiwa miaka miwili. Hii ni dhihaka kubwa kwa chombo chetu...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakati Jose Mournho anaenda EPL ilikuwa inajulikana sifa yake ya kuongea ovyo ..wakati Fulani walimpa jina la "the mouth"...Mourinho alikuwa anafanya "mind games". Akiwashambulia marefa kabla ya...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Lengo ili kumpa muda mrefu wa kucheza na sis watazamaj pamoja na bench la ufund liweze kuona mapungufu take au mazur yake. Lakin akicheza dakka chache huwa tunashndwa kujua stregh na weakness...
1 Reactions
7 Replies
696 Views
Ramadhan Kabwili amefunguka kuwa klabu yake ya Yanga iliamua kumpa likizo ya muda mrefu huku akiendelea kulipwa na Yanga kama kawaida Anasema alipewa likizo ili akili yake itulie na atafute...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom