Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Tulitegemea kusikia adhabu kali kwa mchezo mbaya na wa hatari kwa rafu aliochezewa Sure boy siku ya Derby na Mlinzi wa Simba Inonga Je,tafsiri ni nini? Hawa bodi ya ligi ina maana hawakutazama...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Kocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro, amesema wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vya nyota wao, Shinobu Sakai raia wa Japan, tayari kwa kuanza kumtumia kwenye mechi za Ligi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Msimu mpya wa soka Ligi Kuu ya Ukraine umezinduliwa wiki hii licha ya uwepo wa vita dhidi ya Urusi, ikielewa kuwa mechi zitaendelea bila uwepo wa mashabiki kutokana na sababu za kiusalama...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Hii ligi itakua na changamoto zake maana hawa jamaa nao wana mjapani na leo wamemuongeza Saidoo kule kuna Singida big stars,jamani kuna hatari mnyama mkubwa akamaliza nafasi ya Nne ligi ngumu...
3 Reactions
7 Replies
952 Views
Yaani huyo Manzoki anavyowatia watu wazimu utasema jamaa hakabiki, jamaa anajua sana, jamaa kila gemu akicheza hakosi mabao matatu, kumbe ni wa kawaida tu, najiuliza hivi wangekuwa wachezaji kama...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu wa Mbappe alikuwa na Ballon d Or nne? Naona Mbappe anazidi kuongeza maadui, hata Perez...
24 Reactions
283 Replies
18K Views
Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool. Tim hizo zinatarajiwa kukutana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu. Mimi kama mwanachama na shabiki wa Simba. Leo hatimaye nimepata taarifa Rasmi kuwa Mshambuliaji kutoka Vipes ya Uganda Cesar Lobi Manzoki RASMI HAJASAJILIWA SIMBA NA HATA JIUNGA NA...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama kiongozi wa ngapi ya juuu tena katika tumu zetu mbili pendwa ana post huu ujinga basi tuna safari ndefu katika timu yetu ya taifa,
3 Reactions
12 Replies
953 Views
Huyu Dejan ana balaa afunga goli huku akiwa amefumba macho, kama viungo wa simba watamlisha haswa atafanya makubwa sana.
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.
9 Reactions
14 Replies
3K Views
Ligi ya Ukraine imerudi rasmi leo kwa mara ya kwanza tangu Urusi ilipoivamia Ukraine mwezi Februari mwaka huu. Kutokana na sababu za kiusalama, mashabiki hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya kwanza...
4 Reactions
9 Replies
997 Views
Nikiikumbuka ile simba ya akina Miqussone,Morisson,Chama,Kagere..nikilinganisha na hii simba mpya ya akina okwa,phiri na mzungu....naona bado watani pengine hawajamaliza usajiri,sijui kwa kikosi...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
UINGEREZA: KOCHA WA CHELSEA ASHTAKIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU Chama cha Soka Nchini humo (FA) kimemshtaki Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel kwa utovu wa nidhamu kwa maoni yake kuhusu mwamuzi Anthony...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimewaza baadhi ya matukio kati ya simba na Yanga katika kuwafurahisha washabiki wake . Nani kati Simba na yanga nga ni timu ya matukio .. anayefanya matukio ya kumkomoa mwenzake zaidi ili...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili. Tarehe 28 August 2022...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…