Geita Gold kumsajili mchezaji raia wa Japan

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,306
5,452
Mjapan.JPG

Kocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro, amesema wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vya nyota wao, Shinobu Sakai raia wa Japan, tayari kwa kuanza kumtumia kwenye mechi za Ligi Kuu na mashindano mengine.

Geita Gold ambayo inajiandaa na mashindano ya kimataifa ni miongoni mwa timu za Ligi Kuu zilizosajili nyota wa kimataifa kwa lengo la kuleta ushindani.

Akizungumza na Nipashe jana, Minziro alisema, anaimani kubwa na Mjapan wake pindi atakapoanza kuitumikia timu hiyo, na kudai kuwa wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vyake vya kufanya kazi nchini ili kuanza kutumika.

"Tupo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vya mchezaji wetu Shinob, hakuweza kucheza mechi za awali kwa kuwa hakuwa na kibali cha kazi na makazi, hivyo tunakamilisha utaratibu ili aweze kucheza.

"Ninamatumaini makubwa akianza kucheza kikosi kitakuwa kizuri pale atakapozoeana na wachezaji wenzake, lengo letu tunahitaji kuwa na kikosi bora cha ushindani msimu huu kuliko ulivyokuwa msimu uliopita," alisema Minziro.

Chanzo: Nipashe
 
View attachment 2333410

Hongera yao Geita Gold,lakini je uyo mjapani uku bongo kafata pesa ama ndio yupo katika safari yake ya mafanikio ya soka uko mbeleni
 
Mayele kufunga magoli ya kila aina hadi tik tak na Nabi kuchukua kombe unbeaten akifanya sub za kushangaza kumtoa Nondo beki kumuingiza Denis Nkane kumetangaza sana ligi yetu duniani si ajabu kusikia Christiano Ronaldo anataka kuja kumalizia mpira wake unbeaten club Yanga!!

Sasa habari ya mjini wimbo umegeuka sio "mlete mzungu" sasa utopolo lia lia tunaimba "lete mjapan!!
 
View attachment 2333410
Kocha Mkuu wa Geita Gold, Fred Felix Minziro, amesema wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vya nyota wao, Shinobu Sakai raia wa Japan, tayari kwa kuanza kumtumia kwenye mechi za Ligi Kuu na mashindano mengine.

Geita Gold ambayo inajiandaa na mashindano ya kimataifa ni miongoni mwa timu za Ligi Kuu zilizosajili nyota wa kimataifa kwa lengo la kuleta ushindani.

Akizungumza na Nipashe jana, Minziro alisema, anaimani kubwa na Mjapan wake pindi atakapoanza kuitumikia timu hiyo, na kudai kuwa wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vyake vya kufanya kazi nchini ili kuanza kutumika.

"Tupo katika hatua za mwisho za kukamilisha vibali vya mchezaji wetu Shinob, hakuweza kucheza mechi za awali kwa kuwa hakuwa na kibali cha kazi na makazi, hivyo tunakamilisha utaratibu ili aweze kucheza.

"Ninamatumaini makubwa akianza kucheza kikosi kitakuwa kizuri pale atakapozoeana na wachezaji wenzake, lengo letu tunahitaji kuwa na kikosi bora cha ushindani msimu huu kuliko ulivyokuwa msimu uliopita," alisema Minziro.

Chanzo: Nipashe
Geota gold ajirini kocha wa kimataifa minziro awe msaidizi wake
 
Back
Top Bottom