Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila nadhani kama kuna Mchezaji Mzawa ambaye Watanzania tuna Roho Mbaya, Wivu na Unafiki wa Kutomuimba na Kumtukuza inavyotakiwa ni Kiungo Mshambuliaji na Winga Farid...
Mshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa na wahalifu wenye silaha nyumbani kwake asubuhi ya leo Agosti 29, 2022 ikidaiwa pia wahalifu hao walimpiga mchezaji huyo.
Taarifa za...
Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa.
Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra...
Ukweli ni kwamba hakuna club yoyote inayoipenda TFF namna inavyoongoza mpira wetu hapa nchini Tanzania.TFF wamekuwa wakitoa adhabu kali kwa viongozi wa clubs mbalimbali mara nyingi wanafanya...
Duh hii habari nimekutanayo some where
Yule mchezaji wa ivory coast aliyekipiga ajax msimu uliopita hadi akakaribia kuchukua kiatu Cha mfungaji Bora wa champions league Sebastian haller yupo...
Niko nacheki kipute hapa live.
Ukweli ni kuwa , back pass zinaicost sana TZ. yan Kina zimbwe wameshaharibika kichwan, wanawaza kurudisha mpira nyuma muda wote.
Namlaumu sana muasisi wa back pass...
Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena.
Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na...
Mashabiki wa simba wana promote jina la mzungu mpaka mimi mwenyewe sasa naona aibu leo nilikuwa zangu FB na soma zangu comment za Wakenya kuhusu uchaguzi wao cha ajabu si nikakutana na comment ya...
Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani...
Habari za weekend wadau mapambano yanaendele tulipe tozo kwa ujenzi wa taifa letu na maendeleo ya SINGIDA BIG STARS,
ikiwa umepita mda mchache toka kumalizaka kwa mechi kati ya Tanzania dhidi ya...
Kule EGYPT team zilizofuzu Club bingwa ni ZAMALEK na PYRAMID japo ligi haijaisha huku umebaki mchezo mmoja ZAMALEK ana point 77 huku PYRAMID ana point 71 , AHLY point 67.
Kwenye RATIBA ya club...
Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?
klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka...
Beki wa kati wa Simba, Joash Onyango amegomea kwenda nchini Sudan kwa ajili ya kucheza mechi mbili za kimataifa za kirafiki dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana na Al Hilal ya Sudan.
Kikosi cha Simba...
Mashabiki wa simba kuna mda na shangaa nanyi saana sijui tabia zenu ziko vipi au ndo tuseme mnapenda sifa
Simba Queen ndo wamebeba ubingwa cha ajabu kuna mabwege fulani wanatukana yanga ya...
Manchester United inafanya mikakati ya kuipindua Chelsea katika mchakato wa kumuwani mshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang ambaye imekuwa ikidaiwa anaelekea Chelsea.
Aubameyang...
Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo.
Bruno Fernandez ndiye...