Straight kwenye mada.hii match ya mwakinyo atoboi kwa huyu babu j mzungu. Nimemcheki huyu dejan mzungu anapiga punch kali mno.anatumia akili sio kama bondia wenu.
Ndio hivyo wazeeee.
Wakuu Etoo kashaanza Umse7 na Ukagame Kwenye Soka.
.
Hiko Hivi Samuel Eto’o administration has changed FECAFOOT constitution and now extended his tenure from four years to seven years...
Niko hapa London naangalia TV channel ya Sky action bondia kutoka Bongo anaitwa Hassan Mwakiyo amemchapa vibaya sana bondia Sam Eggington katika round ya pili. Kwa jinsi navyomwona anaweza kufika...
Tuliaminishwa proganda eti Al Ahly wakitaka kumtoa mkopo shariti club ya kwanza iwe Simba kikowapi sasa? Luís huyoo uarabuni tena mkopo una options wa kununua moja kwa moja wale jamaa wa kujifanya...
Angalia pambano la ngumi kati ya Liam Smith vs Hassan Mwakinyo kuanzia saa nne na nusu usiku wa leo tarehe 3 kuptia link hii hapa chini.
https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
Fuatilia pambano la masumbwi kati ya bondia wetu Hassan Mwakinyo dhidi ya Liam Smith leo tarehe 3 saa nne na nusu usiku huu kupitia link hii
https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
Kwa mfano Simba na Yanga Oktoba
saba apige MORRISON, nane ZAWADI MAUYA, tisa FEITOTO, kumi MAYELE, kumi na moja AZIZ KII
WOOOTE hawa WAMEIFUNGA SIMBA kwa nyakati tofauti
Mzungu wa Simba Djan tunatambua fika umekuja Simba ki michongo michongo kutokana na kikosi Cha "NTU WA DILI", Kwa aibu unayotuonyesha wanasimba tafadhali kabla hatujachukua maamuzi magum ya...
Naomba kufahamishwa mwenye jukumu hili la kuajiri na kufukuza makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania .
Je ni Wallace Karia ambaye ni Rais wa TFF au Katibu wake , ama ni kamati ya Utendaji ? na ni...
Ally ameboronga Sana leo kwa jinsi alivyokuwa anawatambulisha wachezaji wake japo alikuwa Ana utani ila hawezi kumfikia Manara kwa uwezo na ujuzi Kama mropokaji Manara alivyofanya katika sherehe...
Sitoi ufafanuzi ila naomba kufahamu, ni kwa nini taarifa hazijulikani au hazipo wazi kuhusu pesa za usajili + mishahara ya wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania? Au ni mimi tu ndio sifuatilii?
Ni...
Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
Wakuu nimeona Katika gazeti la Mwanasport toleo la leo, Jumamosi, September 3, 2022.
.
Kupitia safu inaitwa Mpapaso ya Mwandishi Masau Bwire ametoa sababu Kuu mbili za timu ya Taifa ya Mpira wa...
Hatakama ni bure.. ndiyo nini hiki tunaangalia hapa Uhuru Stadium..?
Tumekuja kuagalia mpira ila hapa kinachoendelea ni gwaride la maafande makuruta wa mataifa mbalimbali ya Afrika.
Mchezo...
Yanga imemrudisha Tuisila Kisinda, ni mchezaji mwenye mbio kama mbuni lakini akili ya mpira hana, Kisinda awe winga mzuri asiitwe timu ya Taifa, awe mzuri Berkane wamtoe kwa mkopo, acheni utani...
Wakuu Ndondi anazocheza Mandonga ni aina ya professional au amature/ridhaa?
Sheria za ndondi haziruhusu kupigana kama hujamaliza miezi mitatu baada ya pambano moja na miezi 6 baada ya kupoteza...
Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa Daktari wa Timu hiyo ambaye kwa sasa alikuwa Daktari wa timu ya vijana, Yassin Gembe amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...