Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mchezaji ajulikanaye kwajina HAALAND mwenye umri wa miaka 21 amezidi kua tishio Duniani swali ni KWAMBA je HAALAND ni tishio? Kama watu wanavyo dai
1 Reactions
13 Replies
933 Views
Kwanza niweke rekodi sawa. Tanzania hakuna Wapenzi wengi wa Mpira wa Miguu kama wanavyoamini wengi wetu, bali kuna Mashabiki wengi wa Simba na wa Yanga. Kwa isivyo bahati mashabiki wetu hawa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ikiwa Al Hilal atafanikiwa kumtowa St-George, Al hHilal watakutana na Yanga kwa next step. Na mechi hiyo itakuwa hatari na yenye kuvutia zaidi ila naamini Yanga watawafunga Al Hilal ndani na nje...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Yeyote anaye jua uchawi naomba tukutane turoge hawa al hilal wafe goli nyingi apa kwa mkapa bila ivo kitatukuta kilicho wakuta wenzetu st- George kule kwao Toka ni zaliwe sijawahi kuona timu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Klabu ya Barcelona inadaiwa kuwa ipo kwenye mipango ya kufanya mazungumzo ya usajili wa kiungo wa Chelsea, Jorginho kwa ajili ya kumsajili katika dirisha la Januari, 2023. Kocha wa Barcelona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu. Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Mohammed Outarra 6. Jonas Mkude 7. Kibu Denis 8. Sadio Kanoute 9. Moses Phiri 10. Football Genius Clatous...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa haya maneno nimemwelewa mno Coach wetu Nabi. Nimemwelewa kwa lugha nyingine anachomaanisha. Hawa jamaa hata pesa ya kula ilikuwa changamoto. Ilibidi sisi Yanga tuwasaidie. Hili ndo gari...
0 Reactions
4 Replies
913 Views
Kocha unatutafuta uchawi, Kocha tafuta sababu za Msingi, Kocha acha visingizio hafifu kwani timu yako ni dhaifu tu haikuwa na uwezo wa kushindana na Simba hata mngekuja na chakula chenu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bondia Hassan Mwakinyo amefungiwa kucheza nchini Uingereza, ikiwa ni siku kadhaa tangu alipozichapa na Liam Smith nchini humo na kupigwa kwa TKO, raundi ya nne. Kwa mujibu wa Mtandao wa ngumi za...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni...
10 Reactions
95 Replies
7K Views
Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
FULL TIME: Yanga imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-0, timu hizo zitarudiana wikiendi ijayo Mayelee anafunga bao la nne na la tatu kwake 88' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Mayeleeeeeee...
6 Reactions
318 Replies
25K Views
Kuna mtu kadandia mtumbwi wa vibwengo huko twitter. Mjifunze kubalansi shobo
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Hali yake na timu yake ya Leicester City ni mbaya sana ! mechi 2 imefungwa magoli 11 ! Anawezaje kupona huyu ?
3 Reactions
10 Replies
719 Views
Bondia Canelo Alvarez amefanikiwa kumpiga Gennady Golovkin katika pambano la uzito wa kati (Super-middleweight) lililofanyika Las Vegas, Marekani, asubuhi ya leo Septemba 18, 2022. Ameshinda kwa...
1 Reactions
2 Replies
727 Views
Mchezo wa pili baina ya Yanga dhidi ya Zalan kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Jumamosi Septemba 17, 2022, ni Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wa kwanza Yanga...
6 Reactions
226 Replies
18K Views
Habari wakuu je nafanyaje ili niweze kuangalia match live kwenye tv kwa kutumia internet ingawa tv yng sio smart tv ila hapa nilipo naangalizia kwenye simu tu mpira kwa kutumia app ya yacine tv...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upo Uwezekano leo Predator (hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…