Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tasnia ya michezo ya bahati nasibu inakua kwa Kasi ya ajabu kutokana na kuongezeka kwa watumiaji wengi wa intaneti, na kukua kwa miamala ya kifedha. Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania imezidi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa naona mashabiki wa simba wakiwananga yanga kwamba wamekutana na timu mbovu ndo maana wameshinda lakini na wao nashuhudia timu wanayocheza nayo ni yale yale kiziwi anamcheka kipofu,,Big...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za mda huu wapenzi na mashabiki wa kandanda Tanzania na east Africa hongera kwa wawakilishi wetu kwa kufuzu kwa ushindi mnono kwenye Caf champions league weekend iliyoisha Tanzania kwanza...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba; 1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini? Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ahlan wa Sahlan Katika kuzunguka kwangu katika mataifa ya ulaya nimekutana na mfumo huu wa ligi za reserve wengine hupenda kuuita professional development leagues.Ni mfumo wa ligi unaohusisha...
3 Reactions
4 Replies
929 Views
Simba Leo imeanza kutambulisha wachezaji wake wapya kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi, Leo wamemtambulisha mshambuliaji hatari wa mbeya kwanza, Habib Kyombo, anakuwa mchezaji wa pili...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF. Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote...
34 Reactions
87 Replies
8K Views
Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ameshavuka kiwanga cha Tanzania One, sasa ni Afrika One. Bahati nzuri CAF inatambua kazi zake. Hiyo ni moja ya save matata sana, ambayo mimi na wenzangu tulishashika vichwa
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji. Wachezaji Yanga wameingiwa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu nina Wazo Fulani la Kumfikishia Waziri wa Utamaduni na Michezo Mhe. Mchengerwa ingawa Sina access ya kumfikishia. Wazo na ushauri wangu ni kwamba Mm nadhani ni wakati sasa Yanga na Simba...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
It was known as GRIDIRON FOOTBALL , but most people never bothered with the first word. As a result,American association-football players increasingly adopted soccer to refer to their sport.
0 Reactions
0 Replies
321 Views
In England, soccer was formed when several clubs formed the Football Association about 150 years ago.
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Je ujio wa Juma Mwambusi katika klabu ya Ihefu utabadili chochote?
2 Reactions
15 Replies
840 Views
Kumekuwa na tambo nyingi kuwa yanga wamefikisha siku 10,000 hawajafungwa, kwamba wana timu ya kupambana na timu yoyote ile duniani, wao wanadai wana uwezo hasa, mfano mzuri ni juzi wametoa adhabu...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC. Na utakuwa ni...
17 Reactions
82 Replies
7K Views
Wakuu, Kila mwezi FIFA hutoa viwango vya ubora wa timu za taifa kutegemea na matokeo. Matokeo hayo husababishwa na wachezaji raia wa nchi husika, lakini sio makocha. Huenda ilikua ni wazo zuri...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…