Muda wa KUJIAJILI SIJUI ITAKUWAJE BAADA YA KOMBE LA DUNIA... (AU NDIO MKATABA WA MILELE WATU KUFANYIA KAZI NYUMBANI)
Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika...
Amani iwe nanyi
Katika siku za hivi karibuni mara baada ya Simba kumteua Master Guardiola Mgunda, nimeweza kugundua masuala kadhaa! Ungana nami uweze kuyajua mambo hayo.
1. Mzamiru amezaliwa...
Baada ya kimya cha muda mrefu kilichomfanya bondia wa Tanzania ambaye kwa sasa anaishi Marekani, Hassan Mwakinyo kupoteza baadhi ya mikanda, bondia huyo atarejea ulingoni Septemba 3, 2022.
Hassan...
Habari za wikiendi mashabiki wa soka wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hongera kwa wana Lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi. Ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya...
Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.
Hili kanihakikishia hasa baada ya...
Nimeona watu wanaleta ushahidi wa mechi dhidi ya Namungo ambayo wachezaji 8 bora wa Premeiro D'Agosto walizuiwa kucheza kwa "Mizengwe" ya UVIKO 19.
Hata baada ya kufungwa 6-2 pale Chamazi ambako...
Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga.
Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako...
Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi.
Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
Unajua kinacho felisha yanga kimataifa ni kudanganyika na uwezo wao wa league ya ndani.
Mda mwingi wanatumia kuaminisha mashabiki wao kuwa wao wanaweza
Kuliko kukaa chini kutafakari jinsi gani ya...
Hii timu ni ya majungu, umbea na propaganda nyingi. Huwezi kushinda mechi za kimataifa kisa wachambuzi wamekusifu.
Huwezi shinda kwa sababu haya ni mashindano ya kweli, achana na hapa ndani...
Mimi ni shabiki wa Mayele sana na kuna nyuzi zangu nyingi namsifu na kumtetea sana, lakini ukweli ni kwamba mechi ya jana Mayele ndiyo alikosesha wenzake magoli mengi ya wazi.
Anapenda sifa sana...
Wadau huduma ya Mgunda tumeiona na inamatokeo ambayo ni chanya.
Mimi napendekeza kama ana vigezo awe Kocha Mkuu wa Simba Sport Club.
Wataalam mnasemaje?
Nikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa...
Timu ya yanga kimataifa siyo kama Simba.
Yanga kwenye uongozi wa leo wanaushamba fulani au ulimbukeni na wakiwa na akili hizo tutegemee anguko kwenye klabu.
Viongozi wa Yanga kimataifa hawawezi...
Kawaida yetu watanzania ni fitina, chuki, husda na unafiki.
Leo najitia katika sifa hizo. Simba mmeonesha kitu ambacho Yanga tunapaswa pia kuiga. Najua Yanga wenzangu hili litawakera. Acha mi...
Hebu ona hii
Tumewekeza kuliko Al Hilal.
Manara kaja na siri ya ushindi wa Simba.
Raha yetu kuwafunga Simba.
Nabi: Mechi za kirafiki za kimataifa kwetu hazina kipaumbele.
Tathmini:
Mwenye akili...
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za...
Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto?
Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.