Amani iwe nanyi
Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza...
Wakuu hii imekaaje, kwenye vyombo vya habari vya nje hasa televisheni, wachambuzi wa soka ni wachezaji waliocheza kwa mafanikio kipindi cha nyuma.
Hapa kwetu ukiacha Mayai na Kiemba ambaye mimi...
Hili naomba niliweke sawa,
Mashabiki wa Yanga najua tayari mmeshakata tamaa lakini nataka kusema na ninyi hivi;
Young Africans msimu huu ni lazima afike mbali kwenye michuano ya kimataifa, na Al...
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ya kufungiwa kwa waamuzi wawili Amina Kyando na Ahmed Arajiga kwa kipindi cha miezi sita ingawa taarifa zao hazijatangazwa kama ilivyo kawaida.
Habari za ndani...
Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye...
FULL TIME
90' Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza
78' Agosto wanapata goli la kwanza
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
76' Agosto wanapata penati baada ya beki wa Simba kuushika mpira
Phiri anafunga goli...
Habari zenu ndugu, wadau na wanabodi.
Jana (08/10/22) kulipigwa mbungi la klabu bingwa Afrika kati Yanga vs Al Hilal, na matokeo yalikuwa sare ya 1-1.
Binafsi mimi ni mfuatiliaji wa mpira tangu...
Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah!
=======...
Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na...
Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez.
Lengo lao kubwa ni...
Salam wanajamii hasa jukwaa hili la michezo, niende kwenye mada moja kwa moja.
Timu zetu pendwa watoto wa kariakoo wako kimataifa wameshacheza mechi tatu kila mmoja na matokeo tunayo yote. Tukiwa...
Salute wakuu.
Napenda kuwapongeza wanalunyasi kwa ushindi mnono walioupata dhidi ya Waangola, hakika kweli SIMBA nyie ni wakimataifa.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwakilisha pongezi zangu zote...
Huenda nikashambuliwa na mashabiki wa yanga lakini ukweli usemwe, Yanga kimataifa bado sana! Anahtaji miaka kama miwil tena ya mikiki mikiki kama hii.
Yanga ni timu waoga sana, tena mno inapokuja...
1. Mchezo ulikuwa mzuri sana na Yanga walitaka kumaliza mchezo mapema lakini game approach iliwashinda.
2.Yanga wamekamilika kwenye idara ya goalkeeping otherwise Al Hilal wangefuzu hapa hapa kwa...
Kucheza na jukwaa kunaondoa umakini uwanjani, kunaongeza wasiwasi kama ukipoteza nafasi, ukipigwa chenga, timu ikichelewa kupata bao na ukifanyiwa substitution. Kutetema kunamfanya mayele ahitaji...
Mechi tano kama sio nne mfululizo anashindwa kupata goli 1st halafu, inawezekana hana tena mbinu mpya au suala la kumuachia jukumu la kufunga braza mayele ndio shida..
Mchezaji mmoja ndio awe...