Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji. Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day. Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani). Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Walima zabibu waingia mkataba na kocha Melis Medo, baada ya kuachana na Mausod Djuma, lakini katika pitapita zangu huko, mashabiki wengi hawakubaliani na usajili wake na kulaumu uongozi kwanini...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hivi hapo Wizarani Kwako hakuna Watendaji waliokuzidi Akili ambazo huna ili wawe Wanakusaidia Kiushauri na usiwe Unakurupuka Kimaongezi? Waziri Mchengerwa nani alikudanganya kuwa Vilabu vya Simba...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania. Hiyo wizara wamepita watu...
3 Reactions
6 Replies
699 Views
1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Yanga SC ni timu kubwa sana wakati timu nyingine hubabaika sana na kutanguliza mashushushu wiki 2 kabla wao wanapeleka baada ya mechi ya kwanza, huo ndiyo ukubwa wa timu inayojiamini. Yaani...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Halafu wenye akili kubwa kukuzidi akina GENTAMYCINE tukikusema kuwa wewe ni mzigo na hasara katika hiyo wizara utaona tunakuchukia au kukuonea wivu. Leo ulipokuwa katika hafla ya kuwopongeza...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Hivi ni kweli ni engineer? Alisoma nchi gani?Au alisomea Somalia? Huko GSM alifanya kazi gani? Nimepatwa na mashaka iwapo huyu jamaa kama hata form 4 alifaulu. Huu uinjinia isije kuwa alipewa na...
4 Reactions
13 Replies
6K Views
Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni...
15 Reactions
57 Replies
5K Views
Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo. Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya...
14 Reactions
70 Replies
7K Views
Ni kama vile Suleiman Matola hapendi kusoma hizi kozi bila kujua anajinyima fursa za maana, ndugu yangu Matola, TFF washatangaza hii nafasi nenda kasome sasa we mzee. Uongozi wa Simba pangeni...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥 Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji...
12 Reactions
36 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi: Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Sporting Lisbon - Mabao 5 Real Madrid - Mabao 450 Juventus - Mabao 101 Man United - Mabao 144 🐐Goat🙌
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Kiukwel mashindano ya CAFCL na CAFCC ni mashindano yenye hadhi yake kwa vilabu. Ndiyo maana Simba imeonja utamu wake na haipo tayari kuyapoteza kirahisi, wana mbinu za kukaribiana na fitina...
1 Reactions
2 Replies
524 Views
Mechi ya kirafiki imemalizika kwa matokeo hayo. Timu ya Mbuni FC inatoka Arusha ambapo mchezo huu umetumika kama mchezo wa kujiimarisha na kujiandaa na mchezo wa CAF dhidi ya Al Hilal. Yanga...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nikutanisha ni viongozi kati ya hawa Ally Kamwe, Manara, Rais, hata kama si kukutana nao basi mawasliano tu maana mimi sipo Dar. Nina pendekezo liitwalo "Timu...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Jambo la kwanza tuutoe ule mwenge kwenye nembo ya timu, mwenge maana yake wewe ni wa hapahapa, mwenge haujawahi kufika hata hapo Kenya,unazunguka hapa ndani tu. Tuweke radi pale, ukizubaa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…