Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mwana Jamii Sport ikiwa tunaelekea Mwishoni kabisa Mwa Mashindano Makubwaaa Duniani ambayo yamefanyika pale Qatar kwa Ma-Sheikh upi utaburi wako katika Nafasi hizi? 1. Mfungaji Bora Hadi saa hizi...
0 Reactions
2 Replies
518 Views
Wakuu mwaka jana sjui juziii(sikumbuki vizuri) watu wa Heineken waliweka big screen pale kigamboni kuonyesha fainali ya UEFA Champions League. Vipi mwaka huu hakuna sehemu watakayoweka big...
0 Reactions
8 Replies
678 Views
Luca Modric amehitimisha huduma yake kwa timu ya Taifa ya Croatia. Hakika ameitendea haki jezi hiyo na pia heshima,adamu na ustaarabu wake utakumbukwa daima uwanjani. Tumejionea leo mapenzi ya...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Mo Arena Bunju ni Uwanja wa Simba au wa Mo? Je, Mo akiuza hisa zake ataondoka na uwanja wake? Maana sio Uwanja wa Simba ni Uwanja wa Mo! Cc. Mbumbumbu fc😀
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Hivi hamkufanya maandalizi kabla ya hii mechi ili kujua izo nguzo zilizopo uwanjani zitaziba camera zenu wakati wa urushaji matangazo? Yaani mmekosa kabisa sehemu nyingine ya kufunga kamera? Hiki...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wahenga walivoleta hule msemo wa mchumia juani hula kivuli ulikuwa una maana kubwa [emoji2]na ulikuwa unatumika kwenye nyakati mbali mbali basi ndo Marcelo Bielsa dhidi ya Pep Guardiola, tunaishi...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
DJ NIPE KWANZA NYIMBO YA SINA UBAYA SINA UBAYA NAE UKWELI HALISI EO TUNAISHIA TAMATI TA MASHIDANO YA WCUP NAJUA WENGI WMECHEPUKA SANA KUSINGIZIA WCUP KBW ZAIDI NDUGU YANGU MESSI KITU PEKEE...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
.... 🚨 Kuhusu Cesar Manzoki iko hivi ; Klabu ya Simba SC iko serious ikihitaji saini ya Cesar Lobi Manzoki na tayari walishafanya majadiliano kuhusu kuitumikia Simba. Lakini klabu ya Dalian pro...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wadau wa michezo, Kuna tetesi au taarifa ya kweli ikihusu TBC1 kuonyesha mechi za Kombe la Dunia nchini Qatar mechi takribani 28 ni jambo la kupongezwa sana. TV'S Kama KBC, UBC, MBC YA...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Kama ulikua hujui mshindi wa kombe la dunia pamoja na washiriki wengine mwaka huu wanabeba kibunda cha Thamani gani basi soma hapo chini Kwa mujibu wa Fifa ilitenga kiasi cha $440m(Trilioni...
8 Reactions
36 Replies
9K Views
Habarini wadau wa soka. FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata. Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kila siku hatuli, hatulali, hatunywi, hatupumziki, Manzoki, Manzoki. Mmemuona? Au mnaingia kwenye mtumbwi wa kibwengo tu. Tuliwahi kumlilia sana Laudit Mavugo, kila siku Mavugo, alipokuja ikawa...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Ni Watu watatu(3) tu ndio ni watu watatu tu Dunia nzima yani unahesabu 1,2,3 ndio walioweza kuchukua Kombe hili kubwa na lenye hadhi kubwa katika mchezo wa Mpira wa Miguu. Na ndio maana nikawaita...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanaodhaniwa kushinda hawashindi wanaodhaniwa kushindwa wanashinda! He nchi za kiarabu na pacific (Japan) confidence imeongezeka coz psychologically wanachikulia Qatar as home ground? Just got...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025. Mfumo huo utakuwa na timu 32 na...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kipigo alichompiga Croatia mwaka 2018 kesho kitamgeukia atachapwa ndani ya dakika 90 Messi atamfunga na wengine watafunga Messi pia atakuwa mchezaji Bora wa mashindano Na mwakani Messi...
0 Reactions
2 Replies
476 Views
Ufaransa walifaidika na uchawi fainali ya 98 Waliloga sana, waliloga uwanjani na wakaenda kwenye hotel ya wachezaji wa Brazil Wachezaji wa Brazil asubuhi wengi walishindwa kuamka kwenda kupasha...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka...
6 Reactions
118 Replies
7K Views
Nilitabiri ya kwamba mngekuwa mabingwa kwasababu niliwaamini tangia mwanzo lakini haikuwa bahati yetu japo mechi yetu na Argentina ilikuwa na makando kando mengi lakini hayo yamepita. Hongereni...
2 Reactions
10 Replies
573 Views
Nadhani ile misemo ya 'kwa Mkapa hatoki mtu' huenda ikawa mwisho wake umewadia, baada ya Nabii Mtume Mwamposa kukesha humo usiku wa leo akiwa ameujaza uwanja. Sasa tutegemee magoli ya kutosha tu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…