Mechi ngumu sana lakini Wananchi wamepambana mpaka mwisho, KMKM ni wazuri sana chini ya Kocha Hemed Morocco lakini hawakuweza kuwa wababe mbele ya Wananchi, alama tatu kwao.
Sio timu tu kutoka...
Kundi A: Azam, Malindi na Jamhuri.
Kundi B: Yanga, Singida BS na KMKM.
Kundi C: Simba, Mlandege na KVZ.
Kundi D: Namungo, Aigle Noir na Chipkizi.
kwahiyo hii mapinduzi cup wameona yanga ndo wa...
Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?
Huu ndio ujumbe wangu kwako , wewe Juma ni kocha mwenye leseni kubwa sana , CV yako haihitaji maelezo , unastahili kuongoza kikosi , hustahili kuwa kocha wa mazoezi .
Nakushauri , usikubali kuwa...
Hizi ni aina za kupigana kila nchi utambulika kwa jina lake na mtindo wake wa kupigana.
*Ukrain
unaitwa:Combat hopak
*Turkey
unaitwa:Sayokan
*Japan
unaitwa:jujitsu,Judo,sumo ,kempo ,karate na...
Habari za uhakika kutoka vyanzo vya kuaminika ni kwamba Juma Mgunda atajiunga na Geita Gold kuanzia leo kama Kocha Mkuu! Hivyo mpango wa kumfanya Kocha Msaidizi umebuma!
Mwenye story ya jinsi kalusha bwalya alivyonusurika ajali ya ndege wenzake wote wakafa mje apa mtujuze maana wengine tulikuwa wadogo.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wafuatao ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Vigezo ni mafanikio binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwepo timu za taifa:
1. Lionel Messi
2. Edson Pele
3...
Wakuuβ¦.
Naona Sakata la Fei Toto Linakuja na Propaganda nyingi.
Leo Watu pamoja na Page Rasmi ya Yanga, zimepost na kumpongeza Mayele kuwa Mchezaji Bora wa Congo. Bahati mbaya sana Watanzania...
Wafuatao ndio wachezaji kumi bora kuwahi kutokea kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:
1. Cristiano Ronaldo
2. Franz Beckenbauer
3. Johan...
"Wakati kikosi kingine kikielekea Kule Dubai ya Africa ( zenji). Mtaalamu wa kupiga ma free kick hapa Tanzania na Africa si mwingine Bali Dr. Aziz ki atabaki avic town akiendesha tuition jinsi ya...
Kuajiri kocha wa kigeni katikati ya msimu ambapo mtani wetu kashatuacha kwa pointi 6 na hapo bado hatujacheza nao, hatujacheza na Azam, hatujaenda mikoani kuminyana na Ihefu, Dodoma jiji, Mtibwa...
Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023.
Kazi ya hatari inaenda kufanywa na...
Mabingwa watetezi wa kombe la mapinduzi Simba S.C wameondoshwa kwenye mashindano hayo kufuatiwa kichapo cha goli Moja Kwa bila.
Simba imebakiza mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba utakaochezwa...
Mshambuliaji hatari Kwa Sasa duniani Fiston kalala Motoyabimba Mayele amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa mwaka nchini Congo baada ya kuwashinda wapinzani wake.
Mbali na tuzo hiyo, vyombo...
Binaadamu ukimuahidi au akitarajia jambo anaweza asijali sana usalama wa wengine na wakati mwingine hata usalama wake mwenyewe.
Teja anapohitaji pesa au chochote ulichonacho haoni shida kukuchoma...
Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya.
Nimeumia sana.