Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.
Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.
Viongozi...
Eti mitandao yote Leo imeandika kwa pamoja na maneno yale yale kuwa kocha mpya amevutiwa na uwezo wa Kibu na atambadilisha, huo ni uongo mtupu na ni mchongo tu wa kutaka mchezaji huyo ambaye ana...
Habari Wana JF
Kama title inavyojieleza hapo, kutokana na ugumu wa NBC league ilivyo Kwa makocha wengi especially wa Simba kushindwa kutoboa/ kupata mafanikio kama inavyotarajiwa.
Binafsi kocha...
Akihojiwa na mtangazaji wa Azam TV baada ya kupoteza mechi dhidi ya Mlandege 0-1 amesema bado ana matumaini ya kushinda mechi 2 zilizobaki katika kundi lao C na kutinga hatua ya nusu fainali...
Habari za mda huu,
Wapenzi wa team za kariakoo, msiumie leo nipo kumsifia kiungo wa dimba la chini wa Azam mzee wa one Touch
Na ma shoot ya mbali aisee Kenneth Mguna ni controller wa mechi...
Hii top ten yangu .
Wengine mnaweza weka yenu tupate ..ya wote .. ikiwezekana
1.Karim Mandonga
2.Mayele
3.Chama..
4.feitoto
5.Kiduku..
6.Mwakinyo
7.Phiri
8.Aziz Ki
9.Barbara Gonzalez
10. Juma...
Kila ukizungumzia ushindi ya Yanga akili yako inakutuma Simba wanaumia. Hivi unadhani mashabiki wa mpira wako kama wanawake kwa wivu usio na maana?
Kuna wakati wa kuumia lakini sio kila tukio...
Tangu niijue na kuifuatilia Simba sijawahi kuona kikosi kibovu cha Simba kama kilichocheza juzi na Mlandege. Haijawahi kutokea hata Simba B ikawa hovyo kiasi hiki.
Kocha Mgunda pamoja na kukerwa...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point).
Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira...
Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika.
Nilishangaa jana iliponunua Kocha mpya.
Kanoute, Mzamiru, na wengine wengi hao wote ni Average player's.
Viongozi kama hamna pesa za usajiri...
Msemaji wa club moja kongwe akiponda usajili wa Saidoo,alibeza uwezo wa mchezaji huyo na kusema Simba hakuna walichosajili na mchezaji huyo akifikisha hata goli 5 tu huyo msemaji aitwe ashura ma...
Kama asemavyo Gentamycine, hataki unafiki, na mm Leo kwa kweli nmevumilia nmeshindwa, nimebana weeee KMKM wapate bao au angalau washinde lakn imeshindikana, Wamekufa dakika za mwisho, yaani...
Baada ya Yanga kumficha ndani mshambuliaji hatari Kambole kwa miezi 4 hatimaye leo ameachiwa kutoka nje.
Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za...
Cameroon inahangaika kutafuta replacement wa under 17 baada ya Kipimo cha kupima umri kuwaondoa karibia timu nzima kwa kuonekana kwamba wamezidi umri.
=====
More Cameroon U-17 players fail age...
Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana.
Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu...
Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana
Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama...
Hali ni mbaya mbaya sana kwa ndugu ronaldo hali iliyopelekea kutia aibu ya mwaka wakati akitambulishwa na klabu yake mpya huko bara asia
Alisikika akisema
"Kuja hapa South Africa sio mwisho...