walai nikiwa kituoni namsubiri monicca walai sjaamini macho yangu baada ya kufika mdada mmoja aliyejitambulisha kuwa yey ndo monica wa jf, walai nimekimbia kutoka kituoni mpaa kwangu paspo kuamini...
Si watu wengi wamefika hapa Daraja la Mungu, lililopo sehemu inaitwa KK, karibu na chuo cha mafunzo Magereza.
Mto wote wa Kiwira unapita chini ya daraja hili.