Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.
Kama Kichwa cha Uzi Kinavyosema, Lengo la uzi huu ni kupata picha zinazoonesha uumbaji wa Mungu maeneo mbalimbali ya nje na makazi yetu either barabarani nchikavu au hata majini unayoyaona ukiwa...