Npo kweny gari/safarin nmetokea tunduma naelekea tabora so naona kama nimechelewa naomb kujua kwa morogoro kuna maeneo/gest gani nzuri ambapo naweza kupumzka huku nikipata burudani?
Imani ya JW hairuhusu mtu mmoja kuingiziwa damu ya mtu mwingine. Akiwa anajifungua na damu kupungua, ilishindikana kuongezewa damu kutokana na imani yake ya kidini kitu kilichosababisha kifo...