Nigeria:Dada graduate Jehova Witness afariki kwa kutokuengezewa Damu kwa sababu ya Imani hairuhusu.

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
4824872_1642759412407623693478001335873664428098874n_jpgcb865a2320f77a53e902af9c4f0e816b

4824873_screenshot20170204at10_44_37am_pngf7a5cf3074771027e2ca2d509fe0de5a

Imani ya JW hairuhusu mtu mmoja kuingiziwa damu ya mtu mwingine. Akiwa anajifungua na damu kupungua, ilishindikana kuongezewa damu kutokana na imani yake ya kidini kitu kilichosababisha kifo chake.

nini maoni yako katika changamoto hii.
Jehovah Witness lady dies after refusing transfusion during childbirth (photo) | Nigerian: Breaking News In Nigeria | Laila's Blog
 
Biblia inatuamuru tusile damu. Kwa hiyo, hatupaswi kukubali damu nzima au sehemu zake za msingi kwa njia yoyote ile, iwe tunaila kama chakula au tunatiwa mishipani. Fikiria maandiko yafuatayo:

-Mwanzo 9:4. Baada ya Gharika, Mungu alimruhusu Noa na familia yake kula nyama lakini akawaamuru wasile damu. Mungu alimwambia hivi Noa: “Isipokuwa tu nyama pamoja na nafsi yake—damu yake—msile.” Amri hiyo inawahusu pia wanadamu wote kuanzia wakati huo na kuendelea kwa kuwa wote ni wazao wa Noa.

-Mambo ya Walawi 17:14. “Hamtakula damu ya mwili wa namna yoyote, kwa sababu nafsi ya kila mwili wa namna yoyote iko katika damu yake. Mtu yeyote atakayeila atakatiliwa mbali.” Mungu aliona nafsi, au uhai, umo katika damu na ni mali yake. Ijapokuwa taifa la Israeli ndilo lililopewa sheria hiyo, inaonyesha kwamba Mungu alichukua kwa uzito sana sheria ya kutokula damu.

-Matendo 15:20. ‘Jiepusheni na damu.’ Mungu aliwapa Wakristo amri hiyohiyo aliyompa Noa. Historia inaonyesha kwamba Wakristo wa mapema walikataa kula damu nzima, hata ikiwa ni kwa ajili ya matibabu.
 
Hamna kitu hapo, mtu kuongezewa damu hakufanani na kula damu..
 
Unaelewa maana ya neno 'kula'
 
Tatizo hapo ni jinsi ya kufafanua maandiko. Maandiko yanakataza kula damu kwasababu ilitumika madhabahuni kama sadaka. Lakini ikumbukwe ukitaka kuokoa au kuleta uhai lazima damu ihusike. Yesu alituokoa kutoka dhambini kwa kumwaga damu yake. Hata wakati wa uzazi kuna blood transfussion utaepukaje mbadilishano wa damu?
 
Biblia inatuamuru tusile damu. Kwa hiyo, hatupaswi kukubali damu nzima au sehemu zake za msingi kwa njia yoyote ile, iwe tunaila kama chakula au tunatiwa mishipani. Fikiria maandiko yafuatayo:

-Mwanzo 9:4. Baada ya Gharika, Mungu alimruhusu Noa na familia yake kula nyama lakini akawaamuru wasile damu. Mungu alimwambia hivi Noa: “Isipokuwa tu nyama pamoja na nafsi yake—damu yake—msile.” Amri hiyo inawahusu pia wanadamu wote kuanzia wakati huo na kuendelea kwa kuwa wote ni wazao wa Noa.

-Mambo ya Walawi 17:14. “Hamtakula damu ya mwili wa namna yoyote, kwa sababu nafsi ya kila mwili wa namna yoyote iko katika damu yake. Mtu yeyote atakayeila atakatiliwa mbali.” Mungu aliona nafsi, au uhai, umo katika damu na ni mali yake. Ijapokuwa taifa la Israeli ndilo lililopewa sheria hiyo, inaonyesha kwamba Mungu alichukua kwa uzito sana sheria ya kutokula damu.

-Matendo 15:20. ‘Jiepusheni na damu.’ Mungu aliwapa Wakristo amri hiyohiyo aliyompa Noa. Historia inaonyesha kwamba Wakristo wa mapema walikataa kula damu nzima, hata ikiwa ni kwa ajili ya matibabu.
Samahani mkuu unajua tofauti ya kula,kunywa na kuongezewa damu?
Ukila kitu chochote asilimia kubwa athari yake utaipeleka chooni, ukinywa yaani kimiminika utaenda kukojoa, vipi ukiongezewa damu utafanya nini kati ya hivyo hapo juu.
Tusitafsiri maandiko kutokana na matamanio yetu, ila siwezi kukulaumu wala kukulazimisha kutokana una imani sawa na huyo aliyejiua mwenyewe.
Kila ugonjwa una tiba yake isipokuwa uzee na kifo tu.........ni miongoni mwa maneno twahara hayo(matukufu)
 
Biblia inatuamuru tusile damu. Kwa hiyo, hatupaswi kukubali damu nzima au sehemu zake za msingi kwa njia yoyote ile, iwe tunaila kama chakula au tunatiwa mishipani. Fikiria maandiko yafuatayo:

-Mwanzo 9:4. Baada ya Gharika, Mungu alimruhusu Noa na familia yake kula nyama lakini akawaamuru wasile damu. Mungu alimwambia hivi Noa: “Isipokuwa tu nyama pamoja na nafsi yake—damu yake—msile.” Amri hiyo inawahusu pia wanadamu wote kuanzia wakati huo na kuendelea kwa kuwa wote ni wazao wa Noa.

-Mambo ya Walawi 17:14. “Hamtakula damu ya mwili wa namna yoyote, kwa sababu nafsi ya kila mwili wa namna yoyote iko katika damu yake. Mtu yeyote atakayeila atakatiliwa mbali.” Mungu aliona nafsi, au uhai, umo katika damu na ni mali yake. Ijapokuwa taifa la Israeli ndilo lililopewa sheria hiyo, inaonyesha kwamba Mungu alichukua kwa uzito sana sheria ya kutokula damu.

-Matendo 15:20. ‘Jiepusheni na damu.’ Mungu aliwapa Wakristo amri hiyohiyo aliyompa Noa. Historia inaonyesha kwamba Wakristo wa mapema walikataa kula damu nzima, hata ikiwa ni kwa ajili ya matibabu.
Mnachukua vipengere kwenye bible hata hamvielewi Mungu alikataa tusile damu na akasema damu ni mali yake, hayo mafundisho ya kuzuia watu wasiongezewe damu hayapo katika bible ni watu wachache walielewa vibaya bible na kupotosha watu,kitendo cha kuzuia watu wasiongezewe damu ni matakwa ya mtu na si agizo la Mungu
 
Mwache afe tu k
4824872_1642759412407623693478001335873664428098874n_jpgcb865a2320f77a53e902af9c4f0e816b

4824873_screenshot20170204at10_44_37am_pngf7a5cf3074771027e2ca2d509fe0de5a

Imani ya JW hairuhusu mtu mmoja kuingiziwa damu ya mtu mwingine. Akiwa anajifungua na damu kupungua, ilishindikana kuongezewa damu kutokana na imani yake ya kidini kitu kilichosababisha kifo chake.

nini maoni yako katika changamoto hii.
Jehovah Witness lady dies after refusing transfusion during childbirth (photo) | Nigerian: Breaking News In Nigeria | Laila's Blog

Mwache afe tu kwa sababu vijana wengi wakitoka nyumbani kwao hudharau mafundisho ya wazazi wao na kuchukua mafundisho mapya wanapokuwa chuoni hivyo kuingiza imani za kishetani wakidanywa kuwa wanamtumikia Mungu na wakifika nyumbani huwaona wazazi wao ni washenzi na hawajui kitu. Na hilo liwe fundisho kwa vijana wote mnakuwa malimbukeni mkifika vyuoni mnasahau misingi iliyowakuza na kupokea mafundisho ya watu msiowajua na hawa huruma na nyie sasa mtaangamia sana wengine hata kwenda kwenye makaburi ya wazazi wao wameambiwa ni dhambi.
 
Mnachukua vipengere kwenye bible hata hamvielewi Mungu alikataa tusile damu na akasema damu ni mali yake, hayo mafundisho ya kuzuia watu wasiongezewe damu hayapo katika bible ni watu wachache walielewa vibaya bible na kupotosha watu,kitendo cha kuzuia watu wasiongezewe damu ni matakwa ya mtu na si agizo la Mungu

WACHA WAANGAMIE MPAKA WAISHE NA UPUMBAVU WAO, SIYO MATAKWA YA MTU BALI NI MATAKWA YA SHETANI ANAYEWAWINDA ILI WAANGAMIZWE HIVI HUYO DAKTARI ANAYEKUONGEZA DAMU UJUZI HUO ALIPEWA NA NANI HAWA WASOMI NI WAJINGA SANA AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO NDIYO MAANA KIBWETERE ALIFAGIA WALE WAJINGA MIA SITA NA HAJULIKANI ALIKO MPAKA LEO.
 
Back
Top Bottom