Raisi John Magufuli ameoneka kummudu sana Huyu mzungu, picha inafafanua Uchungu na Confedence ya juu mno..
Kama ni Caption ningesema hivi.
JPM : You must pay our money , no way , Ok ? .
JLT ...
Sehemu hii ya wenzetu huwa inanipagawisha sana hasa ikiwa inavutia kama hivi.Nikimuona mwanamke ana mguu mzuri kama huu ninaweza hata nikawa namfuata ili tu niwe naiangalia sehemu hii...