wanaume wenye matumbo ya hivi huwa ni balaaa ,,wenye vitambi msione wivu bana
Acheni tu zari atulie anapata mambo yote sawa,kuimbiwa anaimbiwa,ana raha sana [emoji23][emoji23]
Naam
Kweli wenzetu wamepiga hatua. Hebu litazame hili daraja refu kupita yote duniani
Daraja lililotundikwa lenye mita 500 linalokisiwa kuwa refu zaidi duniani limefunguliwa katika mji wa Zermatt...